Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,314
- 9,215
Muombe Mungu sana akupe moyo wa kusamehe na hautoamini mtavoishi mbeleni kila siku itakuwa kama mmeanza jana vileUshauri was kibabe saana huuuđź’Ş hope Mungu atanisaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muombe Mungu sana akupe moyo wa kusamehe na hautoamini mtavoishi mbeleni kila siku itakuwa kama mmeanza jana vileUshauri was kibabe saana huuuđź’Ş hope Mungu atanisaidia
Na ukimlazimisha mrudiane jiandae kwa maumivu makali zaidi ya hayo uyapatayo sasa. Kwanza shukuru Mungu wako upo salama, ujue mke mzinzi ni rahisi sana kukuambukiza magonjwa.Huu ni ukweli mchungu kwangu
Kama hutojali kwa muda wako niombee Moyo wangu utulie ufanye maamuzi sahihiBro, wanawake wana siri nyingi na nzito.
Najua hutakaa bila kuoa but unaweza kumwacha huyu ukakutana na chui.
Chukua mkeo, ukimsamehe atakupenda na kukuheshimu sana.
Pili wanao usiwaandalie mazingira ya kuharibika.
Watoto kukaa kwa bibi ni sawa na kuwatoa sadaka kwa SHETANI
Hilo neno kwa herufi kubwa ulitafakari usiku huu
Mmmmmhhh mwezi na nusu kweli wana ndoa wanaachana! Bado mapema mno ni hasira tu izo zitapungua mtayajenga mlee watoto, na yeye kaondoka nyumbani kwa kuhofia unaweza kumdhuru tu Ila hana maana ya kuachana na wewe na aache watoto....kwa mwanamke ni ngumu kuachana na mumewe walozaaBaba tuna kama mwezi na nusu iv
[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]Nakubali hii nimeharibu mwenyewe hata nimekaa na wazee wamenieleza ni kosa la kiufundi
DuuuuhHata Mimi namis ex wangu aiseee
Mbona unanichanganya bro?Na ukimlazimisha mrudiane jiandae kwa maumivu makali zaidi ya hayo uyapatayo sasa. Kwanza shukuru Mungu wako upo salama, ujue mke mzinzi ni rahisi sana kukuambukiza magonjwa.
Rafiki yangu mmoja nimpe jina Robert alikuwa na mke mzuri tu kwa mtazamo wake, baada ya kuishi naye kwa miaka kadhaa wakapata mtoto wa kike maisha yakaendelea, walipopata mtoto wa pili Robert akaanza kuhisi mkewe anamsaliti kwa kutOmbw@ na baba mwenye nyumba walipokuwa wamepanga, akamdadusi mkewe kwa kina sana akakiri ni kweli.
Robert akaamua kutengana na mkewe kwa muda, miongoni mwa watu aliowaomba ushauri ni mimi, akaenda kucheck afya yake kakutwa yupo salama, baada ya miezi mitatu kacheck tena yupo vizuri.
Nilimshauri sana Robert asikunali kurudiana na mkewe hadi ahakikishe naye amecheck afya yake akakubali. Siku moja Robert akaniambia ameongea na mkewe wakutane wazungumze ikiwezekana wayasuluhishe yaishe nikamwambia ni jambo jema sana kutafuta suluhu ila asisahau afya ni ya muhimu.
Siku hiyo nilimtafuta sana kwa simu zake zote kutwa nzima sikumpata. Nikamtumia ujumbe mfupi wa sms uliosomeka hivi "rafiki yangu kama hujazingatia suala la afya omba Mungu akuokoe", jioni akanipigia akanieleza kuwa alikuwa na mkewe wameyajenga yameisha lakini hakuzungumza lolote kuhusu sms niliyomtumia hapo kabla. Kiukweli moyo wangu ulikosa amani sana juu yake na sikujua ni kwanini maana nilikuwa napata hisia mbaya sana.
Baada ya miezi kadhaa kupita Robert alitokwa na kijiupele kidogo dogo sehemu ya joint ya mkono wake wa kushoto, kikawa kinakua kadiri siku zilivgosonga anajikuna kinazidi kusambaa, alijaribu kutibu kwa kila njia ilishindikana. Siku moja tukaenda hospital fulani kumsalimia daktar ni rafiki yetu, doctor alipoona kile kidonda akamshauri Robert kucheck afya yake kabla hajachelewa na mambo kuwa mabaya zaidi.
Alikuwa ameshaambukizwa ukimwi, alilia sana na kujilaumu mno kwanini hakuweka msimamo siku ile alipokutana na mkewe maana tangu pale hakuwahi kukutana kingono na mwanamke mwingine yeyote. Tulifanya kazi ya ziada kumshauri maana alitamani ajimalize.
Mbeleni ilikuja kugundulika hata wale watoto sio wa kwake ni wa yule mzee mwenye nyumba wote wawili. Waliachana kila mmoja akashika njia yake. Robert alijilaumu sana kwasababu kukosa kwake msimamo kulimponza.
Haya sasa kaburi limefukuliwa
Kaka: kwasasa huhitaji maombi, unachohitaji ni kukubali kuwa haya mambo yapo na hutokea na sasa yametokea kwako.Kama hutojali kwa muda wako niombee Moyo wangu utulie ufanye maamuzi sahihi
Tiba ya uhakika ni kichwa chako. Unakaa unatafakariiiiiii mabaya yake yooote na mazuri yake, kisha unawatazama watoto wenu, halafu unachanganua lipi lina faida zaidi kati ya kuendelea kukaza huku unaumia au kusamehe na kusahau yaishe . Kumbuka hata wewe (huenda) ulishatOmba mke wa mtu sio! Je? ulisamehewa au hukusamehewa?Nahisi nahitaji tiba Sasa maana najilazimisha nashindwa na inaniadhiri Hadi kwenye shughuli zangu
Bro si kila ushauri unafaa kufuata changanya na zakoMbona unanichanganya bro?
Ninachokueleza hapa ni kwamba hakikisha mnapima afya zenu kabla hamjafanya tendo la ndoa (hamjat0mbana) kwasababu unajua kbs kwamba yupo na mwanaume mwingine , usiwe dhaifu ukaangamia kwanza halafu ujutie.Mbona unanichanganya bro?
Hapa nakuunga mkonoNinachokueleza hapa ni kwamba hakikisha mnapima afya zenu kabla hamjafanya tendo la ndoa (hamjat0mbana) kwasababu unajua kbs kwamba yupo na mwanaume mwingine , usiwe dhaifu ukaangamia kwanza halafu ujutie.
Mkiwa salama rudianeni muendelee na ndoa yenu.
Wewe binafsi umeachana na wangapi? Ndoa yako ina umri gani?Nyie wanawake nani amewapa privilege kubwa hivi? Unadhubutu kusema divorce wanwake tu ndio wanaiweza?
Ameudie malaya kama wewe. Huyo ni malaya. Hafai kuwa mke kabisa na namshauri jamaa aachane kuwa weak. Kuna wanawake wazuri sana ambao wanaheshimu ndoa wanaweza kukaa nayeye. Awe na subira na asiache watoto kwa bib.
Nashauri ahame nyumba waliokuwa wanaishi.
Mwanamke sio chochote. Ni kama nguo, ikiisha unavua. Mwanamke hana thamani kumzidi mwanaume hata kwa siku moja.
Mwanamke kumvumilia mwanaume anaye chepuka ni rahisi kwakua hakuna kitu kikubwa wanacho offer zaidi ya k..Ila Kwa mwanaume inaumiza ...coz kuanzia Hela , attention ..care ...n.k vyote hvyo anavitoa na Bado mwanamke analiwa nje ....mwanamke hana Cha kupotezaKama ni kweli unaweza kumvumilia mumeo akichepuka bas wewe ni miongoni mwa wanawake wa kipekee sana hapa duniani na bila shaka mpo wachace mno witnessj
Wengi huwa tunasahau afya ni jambo la msingi sana, sio unarudiana na mtu kisha mnaingia kuanza kula ARV kizembe zembe hapana haikubaliki.Hapa nakuunga mkono
Nakubaliana na wewe ila lazima mwanaume uwe mwaminifu , sio me unachepuka tena hovyo hovyo tu halafu kwa ke iwe nongwa hapanaMwanamke kumvumilia mwanaume anaye chepuka ni rahisi kwakua hakuna kitu kikubwa wanacho offer zaidi ya k..Ila Kwa mwanaume inaumiza ...coz kuanzia Hela , attention ..care ...n.k vyote hvyo anavitoa na Bado mwanamke analiwa nje ....mwanamke hana Cha kupoteza