Nimemkumbuka Mzee Mbowe na Asali alolambishwa kutaka kumfuta Mh LISSU kwenye Siasa za Upinzani.

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Duuh vita ikawa Kali sana, Mzee Mbowe akawa anataka Uenyekiti, hapohapo anataka Agombee Urais 🤣.

Kumbe Lengo akiwa Mwenyekiti autumie kuwabana akina Lissu , Heche .

Agombee Urais yeye, ili Samia apate Mpinzani lojolojo .

Hatimaye Mzee Mbowe, akaangukia PUAA !!.
 
Hivi huwezi kuandika bila kutanguliza neno mzee kila sehemu? Mbona vijana hasemi ''kijana'' fulani, au mtoto? Magufuli ndiye alikuwa na huu ujinga. Ni utamaduni unaoonyesha uduni wa sisi waafrika kwenye vichwa vyetu.
 
Duuh vita ikawa Kali sana, Mzee Mbowe akawa anataka Uenyekiti, hapohapo anataka Agombee Urais 🤣.

Kumbe Lengo akiwa Mwenyekiti autumie kuwabana akina Lissu , Heche .

Agombee Urais yeye, ili Samia apate Mpinzani lojolojo .

Hatimaye Mzee Mbowe, akaangukia PUAA !!.
Siasa za kuwapa matope watu ili ninyi muonekane wazuri hazitawasaidia. Mbowe angelikuwa mtu mbaya asingelimkaribisha Lissu Chadema. Na Lissu baada ya kukaribishwa akawa kama punda alivyokaribishwa kwenye hema la mwenye punda! Ahahahahaha!!!
 
Lakini uchaguzi si uliisha!
Na mbowe hajawahio ongea lolote tokea siku ile.

Hivi kwenye zike kampeni kuna mtu alitukanwa kama mbowe, hamkutosha wakati ule mnaendelea hadi leo!
 
Duuh vita ikawa Kali sana, Mzee Mbowe akawa anataka Uenyekiti, hapohapo anataka Agombee Urais 🤣.

Kumbe Lengo akiwa Mwenyekiti autumie kuwabana akina Lissu , Heche .

Agombee Urais yeye, ili Samia apate Mpinzani lojolojo .

Hatimaye Mzee Mbowe, akaangukia PUAA !!.
Uchaguzi ulishakwisha hizi habari jadilianeni wenyewe huko lumumba. Mnaona No Reform No Election inabamba mnaanza ***** ***** zenu
 
Kwenye Politics za Tanzania šŸ‡¹šŸ‡æ, Mbowe anastahili kupewa heshima yake,,,,! Ni vile tu kajitoa sana, ameshtakiwa na kufungwa sana, ameharibiwa mali zake sana ,,, ! Mengine ni makosa ya kibinadam, hata lissu ana makosa yake mengi tu
 
akasahau lisu ni shushushu ,akamkabia kwa juu

Siku ya kuomba kura alitaka kupiga magoti ...nilicheka sana...general WA vita anapiga magoti(mambo ya joka la medium)
 
Duuh vita ikawa Kali sana, Mzee Mbowe akawa anataka Uenyekiti, hapohapo anataka Agombee Urais 🤣.

Kumbe Lengo akiwa Mwenyekiti autumie kuwabana akina Lissu , Heche .

Agombee Urais yeye, ili Samia apate Mpinzani lojolojo .

Hatimaye Mzee Mbowe, akaangukia PUAA !!.
ignore
 
Mwacheni FAM apumzike, atahitajika jukwaani muda ukifika.
 
Mbowe mtoto wa mjini, ccm walitaka kumzoea akachomoa betri kiutu uzima ,vinginevyo chadema ilikua inakufa, mkiambiwa Chadema ipo na roho saba msibishie.

Sio kwa mchoro ule ,Mr Mbowe must be respected,

Kawapiga kibra ccm, akaunganisha makundi yaliyokuwa ndani yake ,alafu akachomoa ,kimia kama sio yeye, so mtu kama uyu hata kama alikula asali yako utamlaum kwa lipi, ?
 
Duuh vita ikawa Kali sana, Mzee Mbowe akawa anataka Uenyekiti, hapohapo anataka Agombee Urais 🤣.

Kumbe Lengo akiwa Mwenyekiti autumie kuwabana akina Lissu , Heche .

Agombee Urais yeye, ili Samia apate Mpinzani lojolojo .

Hatimaye Mzee Mbowe, akaangukia PUAA !!.
Awali kabla maslahi yake hayajaguswa mzee Alikuwa Anawepeleka puta Sana Chama fulani".
 
Duuh vita ikawa Kali sana, Mzee Mbowe akawa anataka Uenyekiti, hapohapo anataka Agombee Urais 🤣.

Kumbe Lengo akiwa Mwenyekiti autumie kuwabana akina Lissu , Heche .

Agombee Urais yeye, ili Samia apate Mpinzani lojolojo .

Hatimaye Mzee Mbowe, akaangukia PUAA !!.
Lisu chama kinamwendesha hana maarifa ya uongozi
 
Siasa za kuwapa matope watu ili ninyi muonekane wazuri hazitawasaidia. Mbowe angelikuwa mtu mbaya asingelimkaribisha Lissu Chadema. Na Lissu baada ya kukaribishwa akawa kama punda alivyokaribishwa kwenye hema la mwenye punda! Ahahahahaha!!!
Ipo siku Mungu atawaadhibu
 
Duuh vita ikawa Kali sana, Mzee Mbowe akawa anataka Uenyekiti, hapohapo anataka Agombee Urais 🤣.

Kumbe Lengo akiwa Mwenyekiti autumie kuwabana akina Lissu , Heche .

Agombee Urais yeye, ili Samia apate Mpinzani lojolojo .

Hatimaye Mzee Mbowe, akaangukia PUAA !!.
Lisu atashinda Uaraisi...
 
Back
Top Bottom