Nimemkumbuka Mzee Mbowe na Asali alolambishwa kutaka kumfuta Mh LISSU kwenye Siasa za Upinzani.

Nimemkumbuka Mzee Mbowe na Asali alolambishwa kutaka kumfuta Mh LISSU kwenye Siasa za Upinzani.

Siasa za kuwapa matope watu ili ninyi muonekane wazuri hazitawasaidia. Mbowe angelikuwa mtu mbaya asingelimkaribisha Lissu Chadema. Na Lissu baada ya kukaribishwa akawa kama punda alivyokaribishwa kwenye hema la mwenye punda! Ahahahahaha!!!
Watu hubadilika.
Mbowe si kwa matakwa yake bali
CCM ilizidi kumwandama na kuweka rehani biashara zake.
Wanadamu hubadilika kulingana na mazingira.

Unaweza kueleza ni kwanini Mbowe alitaka kuwafukuza;
Heche, Lema, Msigwa na Lissu?

Unafikiri kwanini tuhuma hii ilitolewa na Lena hadharani na Mbowe hakuwahi kujibu?
 
Je, unamwamini Lissu? Je, ukija kugundua siku moja kuwa Lissu ni "project" ya kuua upinzani, utasemaje?
 
Back
Top Bottom