Nimemkuta Ex wangu 'Anajiuza' roho imeniuma sana

Nimemkuta Ex wangu 'Anajiuza' roho imeniuma sana

Tatizo ulikosea mkuu yaani ulitakiwa usiku ule ule ulivyokutana nae ungemtoa hata hela kdgo alafu ungemwambia asihofu utamtafuta siku nyingine,hapo cha kufanya sahv ni kutumia tu n.o ya mtu mwingine alafu uombe kukutana nae ili muongee vizuri bila kusahau kumrushia mpunga...
Mtumie message na umwambie kwamba utampa millioni tano ili aanze biashara,yeye mwenyew atakutafuta
Naona hela ndio solution pekee..
 
Kiukweli Wanaume jamani dahhhhhh Mungu awasamehe maskini binti Wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wee huwa unakomaaga na wanaume tu kisa wanaume ni wavumilivu hatusemagi ovyo.

Unafikir nyie huwa hamtutosi?

Binafsi nmeenda masomon tena mda mchache tu nakuta mtu ameshaolewa unafikiri iliniumaje?

Hadi leo naona kiumbe chochote cha kike ni kisaliti, kiungo.

Unapotetea tetea kubalance sio wanaume tu mnatubwaga sanaa tu sema tunajikaza na hatuwez anika ovyo malalamishi.
 
Wee huwa unakomaaga na wanaume tu kisa wanaume ni wavumilivu hatusemagi ovyo.
Unafikir nyie huwa hamtutosi?
Binafsi nmeenda masomon tena mda mchache tu nakuta mtu ameshaolewa unafikiri iliniumaje?
Hadi leo naona kiumbe chochote cha kike ni kisaliti,kiungo.
Unapotetea tetea kubalance sio wanaume tu mnatubwaga sanaa tu sema tunajikaza na hatuwez anika ovyo malalamishi.
Sawa sikatai ila nyie Wanaume mmezidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom