juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,478
Hapo kaondoa shida au ndiyo anaziita..?? What if akakutana na Gonjwa tisha?? Nyie wamama uvivu wa kufanya kazi ndiyo huwa unawaumiza.maisha tu .hakuna anaependa shida..na zinapelekea mtu kuwa desperate kufanya lolote mradi shida ziondoke.
kama umeguswa endelea kumtafuta..siku ukifanikiwa akikuambia sababu kama unaweza msaidia fanya hivyo atoke kwenye hiyo biashara ya mwili
Hujui usemalo.Sishangai maana wote niwale wale, yeye anajiuza ww unanunua....!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiufupi tabia yake na yako zinafanana..maana ye anajiuza na wewe ulienda kununua,mnafaa kuishi pamojaWeekend hii iliopita kwenye misele yangu ya usiku nilipita viwanja fulani maarufu kwa kutembelewa na wazungu wengi sana. Nilipofika hapo katika kuangazaangaza kwenye kona fulani nikaona msichana ambae alinivutia sana.
Nikawa napanga mikakati nimuingieje. Baada ya kumtupia jicho nikahisi kama namfahamu, nikajipitisha pale la haula kumbe ni ex wangu ambae mimi nilikuwa mwanaume wake wa kwanza na hatujaonana kama miaka mitatu hivi.
Alishtuka sana aliponiona na mimi sikutegemea kumkuta mazingira yale na mitego aliokaa. Nikamuuliza maswali mawili matatu anajikanyaga nikaamua nipotezee tukachat mawili matatu nikachukua namba yake nikaondoka eneo lile nikamwacha.
Kesho yake nikamtafuta nikaemdelea kumhoji nini kinaendelea kwenye maisha yake mpaka amefikia hatua hio. Najuta kumuuliza kwani alinitukana sana (wenyewe wanaita kuchamba) na kusema mimi ndio moja ya sababu yuko alivyo leo na akaamua kuniblock kabisa whatsapp. Hapa nilipotangu juzi namtafuta hapokei simu.
We mwenyeww unajiuzaaaa…Weekend hii iliopita kwenye misele yangu ya usiku nilipita viwanja fulani maarufu kwa kutembelewa na wazungu wengi sana. Nilipofika hapo katika kuangazaangaza kwenye kona fulani nikaona msichana ambae alinivutia sana.
Nikawa napanga mikakati nimuingieje. Baada ya kumtupia jicho nikahisi kama namfahamu, nikajipitisha pale la haula kumbe ni ex wangu ambae mimi nilikuwa mwanaume wake wa kwanza na hatujaonana kama miaka mitatu hivi.
Alishtuka sana aliponiona na mimi sikutegemea kumkuta mazingira yale na mitego aliokaa. Nikamuuliza maswali mawili matatu anajikanyaga nikaamua nipotezee tukachat mawili matatu nikachukua namba yake nikaondoka eneo lile nikamwacha.
Kesho yake nikamtafuta nikaemdelea kumhoji nini kinaendelea kwenye maisha yake mpaka amefikia hatua hio. Najuta kumuuliza kwani alinitukana sana (wenyewe wanaita kuchamba) na kusema mimi ndio moja ya sababu yuko alivyo leo na akaamua kuniblock kabisa whatsapp. Hapa nilipotangu juzi namtafuta hapokei simu.
kwa vile hujawakuta anga zao, hata huyo ulijuaMbona wengi hawana kazi hawajiuzi?
Si unajua law of demand... As price go on....
Amen!Kiufupi tabia yake na yako zinafanana..maana ye anajiuza na wewe ulienda kununua,mnafaa kuishi pamoja
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Hapokei simu, hajibu sms,whatsapp blocked
Ananini sasa uyu ndugu yangu?mwambie akutumie account muwekee hela ya mtaji.malipo utakutana nayo mbinguni