Nimemkuta Ex wangu 'Anajiuza' roho imeniuma sana

Nimemkuta Ex wangu 'Anajiuza' roho imeniuma sana

maisha tu .hakuna anaependa shida..na zinapelekea mtu kuwa desperate kufanya lolote mradi shida ziondoke.
kama umeguswa endelea kumtafuta..siku ukifanikiwa akikuambia sababu kama unaweza msaidia fanya hivyo atoke kwenye hiyo biashara ya mwili
Hapo kaondoa shida au ndiyo anaziita..?? What if akakutana na Gonjwa tisha?? Nyie wamama uvivu wa kufanya kazi ndiyo huwa unawaumiza.
 
Unamuuliza alikuwa anafanya nini pale na wewe ulikuwa unafanya nini pale?na kama siyo wote mlikuwa kwenye mawindo.hakuna wa kulaumu mwenzake hapo mwaache aendelee na business zake ndiyo maisha aliyo aamua kuishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weekend hii iliopita kwenye misele yangu ya usiku nilipita viwanja fulani maarufu kwa kutembelewa na wazungu wengi sana. Nilipofika hapo katika kuangazaangaza kwenye kona fulani nikaona msichana ambae alinivutia sana.

Nikawa napanga mikakati nimuingieje. Baada ya kumtupia jicho nikahisi kama namfahamu, nikajipitisha pale la haula kumbe ni ex wangu ambae mimi nilikuwa mwanaume wake wa kwanza na hatujaonana kama miaka mitatu hivi.
Alishtuka sana aliponiona na mimi sikutegemea kumkuta mazingira yale na mitego aliokaa. Nikamuuliza maswali mawili matatu anajikanyaga nikaamua nipotezee tukachat mawili matatu nikachukua namba yake nikaondoka eneo lile nikamwacha.

Kesho yake nikamtafuta nikaemdelea kumhoji nini kinaendelea kwenye maisha yake mpaka amefikia hatua hio. Najuta kumuuliza kwani alinitukana sana (wenyewe wanaita kuchamba) na kusema mimi ndio moja ya sababu yuko alivyo leo na akaamua kuniblock kabisa whatsapp. Hapa nilipotangu juzi namtafuta hapokei simu.
Kiufupi tabia yake na yako zinafanana..maana ye anajiuza na wewe ulienda kununua,mnafaa kuishi pamoja

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Weekend hii iliopita kwenye misele yangu ya usiku nilipita viwanja fulani maarufu kwa kutembelewa na wazungu wengi sana. Nilipofika hapo katika kuangazaangaza kwenye kona fulani nikaona msichana ambae alinivutia sana.

Nikawa napanga mikakati nimuingieje. Baada ya kumtupia jicho nikahisi kama namfahamu, nikajipitisha pale la haula kumbe ni ex wangu ambae mimi nilikuwa mwanaume wake wa kwanza na hatujaonana kama miaka mitatu hivi.
Alishtuka sana aliponiona na mimi sikutegemea kumkuta mazingira yale na mitego aliokaa. Nikamuuliza maswali mawili matatu anajikanyaga nikaamua nipotezee tukachat mawili matatu nikachukua namba yake nikaondoka eneo lile nikamwacha.

Kesho yake nikamtafuta nikaemdelea kumhoji nini kinaendelea kwenye maisha yake mpaka amefikia hatua hio. Najuta kumuuliza kwani alinitukana sana (wenyewe wanaita kuchamba) na kusema mimi ndio moja ya sababu yuko alivyo leo na akaamua kuniblock kabisa whatsapp. Hapa nilipotangu juzi namtafuta hapokei simu.
We mwenyeww unajiuzaaaa…
Ulifuata nn huko???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si ulienda kununua ,kuna tofauti gani kati yako na yeye,

Muuzaji na mnunuaji, mchovya asali hachovi Mara moja.
 
Unamtafuta wa nini?unataka kumrudia?ulimkata kizinda ukamuacha,sasa anajiuza unamtaka tena?sasa na kizinda cha pili atakuwa hana!
 
Huyo sasa ndio mkeo maana inaonekana ni chupa na kizibo.
Jitahidi umpate uoe kabisa.
 
Hapokei simu, hajibu sms,whatsapp blocked

No ngumu sn kuwaachisha hiyo kazi hawa watu kisaikolojia wanakua washaharibika hapo mpaka utengeneze saikolojia yake akae sawa ndo ataweza kufanya kazi myingine. Kwa kua anatafuta pesa we tuma pesa hata km amekublock itaingia tu. Unaweza ukawa unamtumia kila baada ya kipindi Fulani badae tafuta njia itakayofanya muwe marafiki. Mkuu km kweli we no mmojawapo mpaka akawa hivyo sasa, jitoe tu mhanga umnusuru yeye na wewe. Mwisho wa siku nafsi yako I we ma imani.
 
Wasichana akili zao wanazijua wenyewe
Wanasemaga akili ni nywele wao pamoja na nywele zao myingi ila akili zimepungua sana
Wao hawapendi kazi ngumu
 
Back
Top Bottom