Ngoja nikujibu kwa niaba ya mapopoma wenzio. Sehrmu nyingi za starehe hasa zenye hadhi hawa wanaojiuza wapo, na haina maana kuwa wanaoenda hapi wote wanajiuza au wateja.
Dont buy into that shi.tSasa mkuu inakuwaje kama nimewabikiri watatu au wanne?
Hebu twende kule kwa Mobutu...hapa naona watu wanamsulubu RRONDO bila sababuMkuu Rrondo kama haikuwa mnunuzi hivyo viwanda ulikwenda kufanya nini?
Ungemkuta ex wako amefungua pub angeweza kukupa round ya urafiki. Next time katika situation kama hiyo ukiona moyo wako ni mwepesi wewe sepa kisilence.
Inaonesha wewe huwa hutoki usiku. Sehemu zote za starehe wanaojiuza wapo. Mimi nilienda kuangalia live band.
Ongea nae umuwezeshe aache hiyo kazi isitoshe wewe ndo chanzo kwa mujibu wa yeye.Weekend hii iliopita kwenye misele yangu ya usiku nilipita viwanja fulani maarufu kwa kutembelewa na wazungu wengi sana. Nilipofika hapo katika kuangazaangaza kwenye kona fulani nikaona msichana ambae alinivutia sana.
Nikawa napanga mikakati nimuingieje. Baada ya kumtupia jicho nikahisi kama namfahamu, nikajipitisha pale la haula kumbe ni ex wangu ambae mimi nilikuwa mwanaume wake wa kwanza na hatujaonana kama miaka mitatu hivi.
Alishtuka sana aliponiona na mimi sikutegemea kumkuta mazingira yale na mitego aliokaa. Nikamuuliza maswali mawili matatu anajikanyaga nikaamua nipotezee tukachat mawili matatu nikachukua namba yake nikaondoka eneo lile nikamwacha.
Kesho yake nikamtafuta nikaemdelea kumhoji nini kinaendelea kwenye maisha yake mpaka amefikia hatua hio. Najuta kumuuliza kwani alinitukana sana (wenyewe wanaita kuchamba) na kusema mimi ndio moja ya sababu yuko alivyo leo na akaamua kuniblock kabisa whatsapp. Hapa nilipotangu juzi namtafuta hapokei simu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku nikiwa na kesi halafu wewe hakimu....nitahukumiwa kunyongwa kwa tuhuma za kuiba kuku!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
dogo punguza bangi...
Haleluyaaaaa!!Nahisi kilio chake kinanihukumu maana tangu nimuache naokota magarasaaa! Karma is a B.itch!
[emoji36] [emoji36] [emoji36]Haleluyaaaaa!!
Kugundua tatizo ni mwanzo wa kutatua tatizo.
Naomba nikuulize swali, je unaamini katika dini na Biblia?
Niambie mchepuko wangu.
Mbona haujajibu swali?Subiri usikie nimekufa ufanye pati....
Unaamini ktk dini na Biblia?Swali gani?