Nimemkuta Ex wangu 'Anajiuza' roho imeniuma sana

Nimemkuta Ex wangu 'Anajiuza' roho imeniuma sana

No ninavyo msaidia ni pale tu ninapomkuta na shida kubwa na hana msaada wowote mfano hyo situation aliyo elezea mtoa uzi, sina maana kwamba nataka kurudiana nae, basi tu kama kipo ndani ya uwezo wangu namsaidia alafu kila mtu na njia yake!

lakini chances za kurudiana nae ni kubwa zaid! mie ukinikuta nisalimie nitakujibu ukinitxt nitakujib lakini sitakuonesha kukufeel !siwez kbs
 
Weekend hii iliopita kwenye misele yangu ya usiku nilipita viwanja fulani maarufu kwa kutembelewa na wazungu wengi sana. Nilipofika hapo katika kuangazaangaza kwenye kona fulani nikaona msichana ambae alinivutia sana.

Nikawa napanga mikakati nimuingieje. Baada ya kumtupia jicho nikahisi kama namfahamu, nikajipitisha pale la haula kumbe ni ex wangu ambae mimi nilikuwa mwanaume wake wa kwanza na hatujaonana kama miaka mitatu hivi.
Alishtuka sana aliponiona na mimi sikutegemea kumkuta mazingira yale na mitego aliokaa. Nikamuuliza maswali mawili matatu anajikanyaga nikaamua nipotezee tukachat mawili matatu nikachukua namba yake nikaondoka eneo lile nikamwacha.

Kesho yake nikamtafuta nikaemdelea kumhoji nini kinaendelea kwenye maisha yake mpaka amefikia hatua hio. Najuta kumuuliza kwani alinitukana sana (wenyewe wanaita kuchamba) na kusema mimi ndio moja ya sababu yuko alivyo leo na akaamua kuniblock kabisa whatsapp. Hapa nilipotangu juzi namtafuta hapokei simu.
Ungejaribu kumuungisha, huenda ulimtia nuksi siku hiyo biashara ikamwendea vibaya!

Wacha kumtafuta kwa simu pita siku ingine viwanja ivo utampata but wote ndio hivyo ni makahaba wewe na yeye
 
Ungemnunua alafu ingemuhoji wakati upo nae ndani. Sasa wewe biashara mbaya alafu unaleta usiku aaahh siyo mambo kichambo halali yako.
 
Hukutafuna papuchi!?[emoji2] ss we unaenda kuuliza maswali meeengiiiiiii wkt mtu anajiuza[emoji23][emoji23][emoji23]

Ugiligili
 
Na wewe wakati unamsalandia si ulikuwa mnunuzi sasa kwanini unamshangaa yeye anayejiuza bila kujishangaa wewe mwenyewe
Hivi ndivyo alivyoletwa kwa Yesu mwanamke mzinzi ili apigwe mawe Yesu alishangaa huyu Mwanamke alizini vipi peke yake akawatolea nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna kitu ambacho hua naamin hakuna dharau kubwa km kurudiana na ex jaman !hv huwa mnamanisha hakuna mwingine au ni 'MAZOEA'? unajua unadharaulika sana !hehhhe over ny dead body siwez mie jaman !kwakweli [HASHTAG]#hongera[/HASHTAG]
Kurudia matapishi

invest what you are willing to lose
 
She is your EX for a very good reason Mkuu. Leave her alone and don't waste your precious time unless unataka kuyaoga matusi ya nguoni mengine.

Weekend hii iliopita kwenye misele yangu ya usiku nilipita viwanja fulani maarufu kwa kutembelewa na wazungu wengi sana. Nilipofika hapo katika kuangazaangaza kwenye kona fulani nikaona msichana ambae alinivutia sana.

Nikawa napanga mikakati nimuingieje. Baada ya kumtupia jicho nikahisi kama namfahamu, nikajipitisha pale la haula kumbe ni ex wangu ambae mimi nilikuwa mwanaume wake wa kwanza na hatujaonana kama miaka mitatu hivi.
Alishtuka sana aliponiona na mimi sikutegemea kumkuta mazingira yale na mitego aliokaa. Nikamuuliza maswali mawili matatu anajikanyaga nikaamua nipotezee tukachat mawili matatu nikachukua namba yake nikaondoka eneo lile nikamwacha.

Kesho yake nikamtafuta nikaemdelea kumhoji nini kinaendelea kwenye maisha yake mpaka amefikia hatua hio. Najuta kumuuliza kwani alinitukana sana (wenyewe wanaita kuchamba) na kusema mimi ndio moja ya sababu yuko alivyo leo na akaamua kuniblock kabisa whatsapp. Hapa nilipotangu juzi namtafuta hapokei simu.
 
She is your EX for a very good reason Mkuu. Leave her alone and don't waste your precious time unless unataka kuyaoga matusi ya nguoni mengine.
Ooh kumbe ex's are reajects isn't it?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kiwanja hicho huyo kawa concord tayari, we nenda siku za biashara mbovu. Utamkuta wanaita kachunda sasa na ww ingia kimalaya mwaga hela mtaondoka kiulainiiii
 
Back
Top Bottom