Nimemkuta jirani yangu anazunguka nyumba yangu usiku

Sio nyumba yako...nyumba yako umesema ipo Madale na bado kumalizika. Acha kuota ndoto za ramli chonganishi.
 
Tumekuelewa..unakaa nyumba ya uani,kubwa ,unafanya biashara kariakoo...unajenga madale!!!😄😄😄
 
Litakukuta jambo🤣🤣🤣🤣🤣 jifanye mwamba
 
Adika kisuahili dugu
 
B
Kisuahili 🤔!!!?

Nitaandika kaka usijali.
We ni mzaliwa wa wapi ndugu, na jukwaa hili ulijiunga mwenyewe, au kuna mtu alikufungulia akaunti?
Bwana dogo aliniuganishia ili namimi nichat na watu umu na kutagaza biasara zagu.za.duka la.guo kariakooo
 
Wanzingua sana tatzo wengne wanaforce kiki ili wawe maarufu sasa wanakuja na style za zamani ambazo kuna watu walishakujaga nazo kitambo hiko
Awana kiki ata moja ni waga tu ao ila nimewakomoa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…