Nimemkuta jirani yangu anazunguka nyumba yangu usiku

Mimi nimepanga kwenye nyumba kubwa yenye vyumba vya uwani. Mimi nafanya biashara nina maduka ya nguo Kariakoo nimepaga bado sijamaliza ujenzi kwangu Madale.

Usiku wa leo niliamka ghafla nilipoona kama kivuli kwenye kioo cha dirisha nikasogea polepole kuangalia kama kuna mwizi nikashangaa kumuona jirani yangu na mkewe wanazunguka nyumba ninayoishi ambayo ni nyumba kubwa wakiwa uchi kabisa.

Mara ya tatu walipofika dirishani nilikuwa nimeshafungua nikawauliza mmebakiza mizunguko mingapi? Walishituka mke akajificha nyuma ya mumewe maana alikuwa uchi.

Nikamuambia mama Omari kumbe una kitako cha ndanindani. Mume akalopoka. Tumeshaaribu dawa.

Wakarudi Ndani kwao. AsubuHi leo Hawataki kuonana nami nimempigia simu jirani hapokei nilitaka nimsalimie kagoma jirani ana roho mbaya sana.
[emoji477]
Screenshot_2023_0125_151118.jpg
 
Hahaaa ,eti kitako cha ndani ndani ,we jamaa ,watakutoa msukule sasa hivi
 
Jaman kitako ulikionaje wakati mama Ommy unasema alijibanza nyuma ya baba Ommy
 
Mwanetu Guru Guja umetuangusha sana master yaan manzi yupo uchi na umemuacha ungemkimbilia na condom hapo ndo wangeelewa vzur na wasingerudia hiyo tabia..2023 ukikamata mchawi ni kumbandua tu ela zenyewe tunapata kwa shida af bado mtu akuloge
 
Ha ha ha ha ha nitafania ivo siku igine
 
Back
Top Bottom