Hivi ni lazima kupost humu? Yaana unapoteza nguvu zako kuandika ujinga tena wa kitoto kabisaMimi nimepanga kwenye nyumba kubwa yenye vyumba vya uwani. Mimi nafanya biashara nina maduka ya nguo Kariakoo nimepaga bado sijamaliza ujenzi kwangu Madale...
Bora ukae kimya, unazidi kujishushia heshimaDuuuuuuuuuuh umenikpsea sana dugu yagu mimi sina akili?eshima kitu ya bule dugu
Eh! hii ni lugha gani?B
Bwana dogo aliniuganishia ili namimi nichat na watu umu na kutagaza biasara zagu.za.duka la.guo kariakooo
Khakhakhaaaaaa kaka Ushimen Bantu Lady Kapachino kitalembwa Antonio de Guzman hivi leo tangu asubuhi mshacheka kweli? Kujeni mtanue mapafu hukuuuuui😁😁!Mimi nimepanga kwenye nyumba kubwa yenye vyumba vya uwani. Mimi nafanya biashara nina maduka ya nguo Kariakoo nimepaga bado sijamaliza ujenzi kwangu Madale...
ASante dear Antonnia ngoja tucheke na siye. kitalembwa uje huku ucheke. PakiJinjaKhakhakhaaaaaa kaka Ushimen Bantu Lady @Kappachino Antonio de Guzman hivi leo tangu asubuhi mshacheka kweli????????
Yanii dunia haiishi vituko khakhakhaaaa!!
Kuna mtu anatafuta mtunzi wa story kama hii, vipi nimuunganishe kwako?Mimi nimepanga kwenye nyumba kubwa yenye vyumba vya uwani. Mimi nafanya biashara nina maduka ya nguo Kariakoo nimepaga bado sijamaliza ujenzi kwangu Madale....
Sasa watu wanalazimisha kutunga visa ila kipengele kipo kwenye kuandika 😄😄
Good jobMimi nimepanga kwenye nyumba kubwa yenye vyumba vya uwani. Mimi nafanya biashara nina maduka ya nguo Kariakoo nimepaga bado sijamaliza ujenzi kwangu Madale...
Wapi ww wengine hatulogekiWatakuharibia maisha ni wanga hao
Mhhh hii ni stori ya kweli hii😳Mimi nimepanga kwenye nyumba kubwa yenye vyumba vya uwani. Mimi nafanya biashara nina maduka ya nguo Kariakoo nimepaga bado sijamaliza ujenzi kwangu Madale.
Usiku wa leo niliamka ghafla nilipoona kama kivuli kwenye kioo cha dirisha nikasogea polepole kuangalia kama kuna mwizi nikashangaa kumuona jirani yangu na mkewe wanazunguka nyumba ninayoishi ambayo ni nyumba kubwa wakiwa uchi kabisa.
Mara ya tatu walipofika dirishani nilikuwa nimeshafungua nikawauliza mmebakiza mizunguko mingapi? Walishituka mke akajificha nyuma ya mumewe maana alikuwa uchi.
Nikamuambia mama Omari kumbe una kitako cha ndanindani. Mume akalopoka. Tumeshaaribu dawa.
Wakarudi Ndani kwao. AsubuHi leo Hawataki kuonana nami nimempigia simu jirani hapokei nilitaka nimsalimie kagoma jirani ana roho mbaya sana.