Nimemkuta masai amesimamia ng'ombe wale ndani ya shamba langu la mazao kusudi, ni sumu gani inauwa ng'ombe taratibu niwafunze adabu?

Pamoja na ushauri wa asali uliopewa, hakikisha unajenga urafiki na mmasai akuuzie ngozi za hao wanyama utapata faida kiwanda cha viatu Morogoro
 
hakika mkuu mi nashangaa ambao wanakazia kweny swala la ng'ombe kulishwa sumu bila kufikiri impact japo kuna madhara ambayo yeye ameyapata.
kumbuka sheria imewekwa ili ifatwe na ili ifatwe lazima ivunjwe
 
Paka asali mkuu
 
Yani shamba nikodishe heka 50,000 Mbegu ni nunue niweke vibarua niweke mbolea afu uje usimamie ng'ombe wako wale kwa masaa tu mbona tunauwana hapo shambani
Yaani nimemtamani huyu mwenye shamba. Walahi mmasai angekunya hapo hapo. Mimi sehemu niliyopo nimezungukwa na wafugaji lakini hakuna anaethubutu kuingiza mifugo shambani kwangu na wananunua vizuri kwa shoo ninazowaonesha.
 
Wamasai huonea waswahili wa Morogoro vile ni wapole mmasai mbele ya mkurya au mchaga hafanyi huo ujinga wa hivo atashushiwa mapanga ajue hajui
[emoji23][emoji23] unenikumbusha jinsi nilivyomshushia mmamg'ati kipigo cha mbwa koko mpaka kijiji kizima kikaniogopa. Huwa wanna jeuri Sana hawa jamaaa.
 
Mimi ni Mmasai na ninafuga.

Swala la kiangazi ni tata sana. Watu wengi huhangaika kuokoa mifugo yao isife kwa sababu ya njaa.

Sasa inapofikia swala la kulisha kwenye mashamba ya watu kuna utata mwingi sana.

Ukiona kiangazi kimezidi, tafuta mmasai muambie anunue shamba lako. Chukua pesa weka mfukoni.
Vinginevyo watakula kwa lazima.

Ila kama shamba limeshavunwa, nawe usiwanyime majani waokoe mifugo yako.

Asali inau vibaya sana, lakini ni wajanja sana siku hizi. Wanatangulia kukagua shamba kama limetiliwa sumu au asali kabla ya kuruhusu mifugo yao kuingia.

Ukishakuta wameingiza, ndugu yangu usizozane nao. Bali lia kama kuwalaani. Waambie acha ng'ombe wenu washibe huku wanangu wakilala njaa. Wamasai tunaogopa sana laana. Wanaweza kukupuuza, lakini watakurudia kukuomba radhi. Watakulipa kidogo.

Kama unadhani kudhuru ndiyo tiba, basi wadhuru ng'ombe. Siyo wao. Ukimuua mmasai, hama eneo hilo na usirudi tena. Watakusaka hata bila ta serikali.

Kwetu huo upuuzi tumeshauacha. Wabongo wenzetu hatuingilii mashamba yao. Tunamalizana nao mezani.

Ila mashamba ya wawekezaji wa Kizungu, maskini tutavamia tu.
 
Asali haidhuru binadamu.
Kushughulika na wachungaji ni kujiongezea uhasama tu maana wafugaji wanaujinga mwingi sana.
Aweke asali kimya kimya shambani mwake watapata funzo tu.
Wafugaji wengi ni jeuri Sana.
 
Limeni mashamba yenu mkalishe mifugo yenu
 
Wamasai wakikutana na mbabe hawarudii upuuzi wao.
Unaweka zako asali kimya kimya wanaugulia vifo vya mifugo tu maana wanajifanyaga wababe Sana
 
Yaani kiangazi ndio uingize ng'ombe kwenye shamba la mkulima? Mkulima anahusikaje? Serikali inacheka nanyi sana.
Ukiona kiangazi kimezidi, tafuta mmasai muambie anunue shamba lako. Chukua pesa weka mfukoni.
 
Kwamba Mungu atamuuliza maswali kwanini aliwawekea ng'ombe wa wamasai asali wakafa halafu Mungu hatowauliza wamasai kwanini wanachungia kwenye mimea ya jamaa?
kwa mujibu wako wewe
mi sijasema unayoyasema
 
Kuna wakati Masai naye anakuwa kama Ng'ombe wake.

Ng'ombe anaona Mazao kama majani mengine tu yaliyomea porini na Masai anaona hivyohivyo.

Mungu akutie nguvu unyanyue tu mikono juu na kusema "Ee Mungu wasamehe maana hawajui watendalo"...yaani wote Ng'ombe na Masai.
 
Kwa nini msiwe mnaweka akiba ya mashudu ili kipindi cha njaa mlishe mashudu na pumba.
Mbona pumba na mashudu msimu wa mavuno bei chini sana junia la pumba 20000 na shudu 30000.
Kwa nini msianze kulima mazao kwa ajili ya mifugo yenu ? Nyenzo mnazo mbolea mnazi lini mtabadrika.
Mjue dunia ya sasa huwezi fanya ubabe siku zote.
Zipo kemikali ukixipiga kwenye majani zinakuwa rangi ya majani mfano round up.
Suruhisho ni nyie wamasai mliosoma na wenye uelewa muunde mashirika mkaelimishe wamasai.
Muishinikize serikali iwajengee mabwawa ya maji huko maporini.
Vile vile mpande miti ya muda mfupi inayoliwa na ng'ombe, mpande nyasi.
Dada zenu na nyie wanaume wa kimasai muanze kuosna na makabila mengine ksma wenzenu wasjkuma, wasikma wameosna na makabila mengine na wmeambujizwa ustarabu wa kisasa ikiwepo dini.
Mwisho kabisa muwaelimishe masai walau wajue kusoma na kuandika ili waanze kusoma biblia na qurani .
Wasukuma siku hizi wanawashinda wamasai, maana naona hata walimu wasukuma wameanza kuwa wengi mashuleni hio ni dalili nzuri.
 
asali sio
sumu kwa binadamu ni mbaya kwa hao ng'ombe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…