Nimemkuta masai amesimamia ng'ombe wale ndani ya shamba langu la mazao kusudi, ni sumu gani inauwa ng'ombe taratibu niwafunze adabu?

Kama Bashe mwenye wizara yako upo humu utaniwia radhi kwani hawa wamasai wamezidi dharau.

Leo nimemkuta masai anachunga ndani ya shamba huku akipawabembeleza ng'ombe wake kwa miruzi wale shambani kwangu jambo ambalo nimewaza nimeona njia rahisi ni kpuliza sumu ndani ya shamba yeyote ataejichanganya iwe fundisho kwa wengine.

Hawa ukisema uhangaike nao mahakamani wanauza ng'ombe kesi imeisha,ukisema uzozane nao wanaweza kukata na sime,nimeona njia nyepesi ni hii.

Nisaidieni jina la sumu yanyekuuwa taratibu tafadhari.Sumu inayopanda taratibu ng'ombe wakafie makwao.
Pamoja na ushauri wa asali uliopewa, hakikisha unajenga urafiki na mmasai akuuzie ngozi za hao wanyama utapata faida kiwanda cha viatu Morogoro
 
Kivipi Mkuu?; Tofauti na Waswahili, Uadui wa Mmasai hauishi kama ni suala la uuaji. Wakisha Aminishana kwamba Fulani alimuua ndg. yetu Mmasai, basi wao kwa ujinga huo-huo wa kulisha mifugo shambani wataliendeleza na kurithishana na kila ikipatikana nafasi/fursa watakuua wewe, mtoto wako, mke wako, watamwua Jamaa/Ndg. yako ..... kwa hiyo ni visa juu ya visa. Hakuna Amani kati yako na Jamii hiyo.
hakika mkuu mi nashangaa ambao wanakazia kweny swala la ng'ombe kulishwa sumu bila kufikiri impact japo kuna madhara ambayo yeye ameyapata.
kumbuka sheria imewekwa ili ifatwe na ili ifatwe lazima ivunjwe
 
Kama Bashe mwenye wizara yako upo humu utaniwia radhi kwani hawa wamasai wamezidi dharau.

Leo nimemkuta masai anachunga ndani ya shamba huku akipawabembeleza ng'ombe wake kwa miruzi wale shambani kwangu jambo ambalo nimewaza nimeona njia rahisi ni kpuliza sumu ndani ya shamba yeyote ataejichanganya iwe fundisho kwa wengine.

Hawa ukisema uhangaike nao mahakamani wanauza ng'ombe kesi imeisha,ukisema uzozane nao wanaweza kukata na sime,nimeona njia nyepesi ni hii.

Nisaidieni jina la sumu yanyekuuwa taratibu tafadhari.Sumu inayopanda taratibu ng'ombe wakafie makwao.
Paka asali mkuu
 
Yani shamba nikodishe heka 50,000 Mbegu ni nunue niweke vibarua niweke mbolea afu uje usimamie ng'ombe wako wale kwa masaa tu mbona tunauwana hapo shambani
Yaani nimemtamani huyu mwenye shamba. Walahi mmasai angekunya hapo hapo. Mimi sehemu niliyopo nimezungukwa na wafugaji lakini hakuna anaethubutu kuingiza mifugo shambani kwangu na wananunua vizuri kwa shoo ninazowaonesha.
 
Wamasai huonea waswahili wa Morogoro vile ni wapole mmasai mbele ya mkurya au mchaga hafanyi huo ujinga wa hivo atashushiwa mapanga ajue hajui
[emoji23][emoji23] unenikumbusha jinsi nilivyomshushia mmamg'ati kipigo cha mbwa koko mpaka kijiji kizima kikaniogopa. Huwa wanna jeuri Sana hawa jamaaa.
 
Mimi ni Mmasai na ninafuga.

Swala la kiangazi ni tata sana. Watu wengi huhangaika kuokoa mifugo yao isife kwa sababu ya njaa.

Sasa inapofikia swala la kulisha kwenye mashamba ya watu kuna utata mwingi sana.

Ukiona kiangazi kimezidi, tafuta mmasai muambie anunue shamba lako. Chukua pesa weka mfukoni.
Vinginevyo watakula kwa lazima.

Ila kama shamba limeshavunwa, nawe usiwanyime majani waokoe mifugo yako.

Asali inau vibaya sana, lakini ni wajanja sana siku hizi. Wanatangulia kukagua shamba kama limetiliwa sumu au asali kabla ya kuruhusu mifugo yao kuingia.

Ukishakuta wameingiza, ndugu yangu usizozane nao. Bali lia kama kuwalaani. Waambie acha ng'ombe wenu washibe huku wanangu wakilala njaa. Wamasai tunaogopa sana laana. Wanaweza kukupuuza, lakini watakurudia kukuomba radhi. Watakulipa kidogo.

Kama unadhani kudhuru ndiyo tiba, basi wadhuru ng'ombe. Siyo wao. Ukimuua mmasai, hama eneo hilo na usirudi tena. Watakusaka hata bila ta serikali.

Kwetu huo upuuzi tumeshauacha. Wabongo wenzetu hatuingilii mashamba yao. Tunamalizana nao mezani.

Ila mashamba ya wawekezaji wa Kizungu, maskini tutavamia tu.
 
Hakika. Ng'ombe/Mnyama hajui kwamba anaharibu au anachokula wewe ndo ulikistawisha hapo. Yeye kama mnyama anakula chakula tu.Ndo maana usipompeleka kwenye majani atajifia hapo hana akili hata ya kutoroka. Shughulika na huyo Nduli anayewaleta ng'ombe kuchunga shambani kwako as if hilo ni chungio la ng'ombe. Awajibishwe mwenye ng'ombe kwa Sheria zilizopo. Ni kweli kwamba ss wafugaji (Baadhi yetu) ni wajeuri sana lakini ni waoga mno inapofikia Sheria.
Sisi huku kwetu tumeweka wigo (Masanzu ya miiba) kuzunguka shamba ili kuwazuia ng'ombe, mbuzi, punda n.k. Lakini bado Wachungaji kwa ujeuri wao hutoboa/wanaondoa baadhi ya miiba(Masanzu ) ili mifugo yao iingie halafu mifugo ikiingia wao wanajificha kuangalia/kuchungulia ni nini kitaendelea. Ni wapuuzi kweli-kweli.
Sishauri kuweka sumu kwani sumu yaweza kudhuru hadi binadamu. Je, utapenda kuhesabika kwamba wewe ni mwuaji/umeua watu kwa sumu kisa ni ugomvi wa malisho(Kumbuka hawa jamaa hula mizoga).
Asali haidhuru binadamu.
Kushughulika na wachungaji ni kujiongezea uhasama tu maana wafugaji wanaujinga mwingi sana.
Aweke asali kimya kimya shambani mwake watapata funzo tu.
Wafugaji wengi ni jeuri Sana.
 
Shieee nyie ormekii muko na matatiso sana. Sisi ng'ombe setu anakunya kwenye mashamba zenu inaacha mbolea arizi anapata rutuba musuri mukilima mazao inakuwa musuri lakini ormekii haitaki sisi masai achungie mashambani.

Shieeee, ormekii mushamba sana.
Limeni mashamba yenu mkalishe mifugo yenu
 
Kivipi Mkuu?; Tofauti na Waswahili, Uadui wa Mmasai hauishi kama ni suala la uuaji. Wakisha Aminishana kwamba Fulani alimuua ndg. yetu Mmasai, basi wao kwa ujinga huo-huo wa kulisha mifugo shambani wataliendeleza na kurithishana na kila ikipatikana nafasi/fursa watakuua wewe, mtoto wako, mke wako, watamwua Jamaa/Ndg. yako ..... kwa hiyo ni visa juu ya visa. Hakuna Amani kati yako na Jamii hiyo.
Wamasai wakikutana na mbabe hawarudii upuuzi wao.
Unaweka zako asali kimya kimya wanaugulia vifo vya mifugo tu maana wanajifanyaga wababe Sana
 
Yaani kiangazi ndio uingize ng'ombe kwenye shamba la mkulima? Mkulima anahusikaje? Serikali inacheka nanyi sana.
Ukiona kiangazi kimezidi, tafuta mmasai muambie anunue shamba lako. Chukua pesa weka mfukoni.
 
Kwamba Mungu atamuuliza maswali kwanini aliwawekea ng'ombe wa wamasai asali wakafa halafu Mungu hatowauliza wamasai kwanini wanachungia kwenye mimea ya jamaa?
kwa mujibu wako wewe
mi sijasema unayoyasema
 
Kuna wakati Masai naye anakuwa kama Ng'ombe wake.

Ng'ombe anaona Mazao kama majani mengine tu yaliyomea porini na Masai anaona hivyohivyo.

Mungu akutie nguvu unyanyue tu mikono juu na kusema "Ee Mungu wasamehe maana hawajui watendalo"...yaani wote Ng'ombe na Masai.
 
Mimi ni Mmasai na ninafuga.

Swala la kiangazi ni tata sana. Watu wengi huhangaika kuokoa mifugo yao isife kwa sababu ya njaa.

Sasa inapofikia swala la kulisha kwenye mashamba ya watu kuna utata mwingi sana.

Ukiona kiangazi kimezidi, tafuta mmasai muambie anunue shamba lako. Chukua pesa weka mfukoni.
Vinginevyo watakula kwa lazima.

Ila kama shamba limeshavunwa, nawe usiwanyime majani waokoe mifugo yako.

Asali inau vibaya sana, lakini ni wajanja sana siku hizi. Wanatangulia kukagua shamba kama limetiliwa sumu au asali kabla ya kuruhusu mifugo yao kuingia.

Ukishakuta wameingiza, ndugu yangu usizozane nao. Bali lia kama kuwalaani. Waambie acha ng'ombe wenu washibe huku wanangu wakilala njaa. Wamasai tunaogopa sana laana. Wanaweza kukupuuza, lakini watakurudia kukuomba radhi. Watakulipa kidogo.

Kama unadhani kudhuru ndiyo tiba, basi wadhuru ng'ombe. Siyo wao. Ukimuua mmasai, hama eneo hilo na usirudi tena. Watakusaka hata bila ta serikali.

Kwetu huo upuuzi tumeshauacha. Wabongo wenzetu hatuingilii mashamba yao. Tunamalizana nao mezani.

Ila mashamba ya wawekezaji wa Kizungu, maskini tutavamia tu.
Kwa nini msiwe mnaweka akiba ya mashudu ili kipindi cha njaa mlishe mashudu na pumba.
Mbona pumba na mashudu msimu wa mavuno bei chini sana junia la pumba 20000 na shudu 30000.
Kwa nini msianze kulima mazao kwa ajili ya mifugo yenu ? Nyenzo mnazo mbolea mnazi lini mtabadrika.
Mjue dunia ya sasa huwezi fanya ubabe siku zote.
Zipo kemikali ukixipiga kwenye majani zinakuwa rangi ya majani mfano round up.
Suruhisho ni nyie wamasai mliosoma na wenye uelewa muunde mashirika mkaelimishe wamasai.
Muishinikize serikali iwajengee mabwawa ya maji huko maporini.
Vile vile mpande miti ya muda mfupi inayoliwa na ng'ombe, mpande nyasi.
Dada zenu na nyie wanaume wa kimasai muanze kuosna na makabila mengine ksma wenzenu wasjkuma, wasikma wameosna na makabila mengine na wmeambujizwa ustarabu wa kisasa ikiwepo dini.
Mwisho kabisa muwaelimishe masai walau wajue kusoma na kuandika ili waanze kusoma biblia na qurani .
Wasukuma siku hizi wanawashinda wamasai, maana naona hata walimu wasukuma wameanza kuwa wengi mashuleni hio ni dalili nzuri.
 
asali sio
Hakika. Ng'ombe/Mnyama hajui kwamba anaharibu au anachokula wewe ndo ulikistawisha hapo. Yeye kama mnyama anakula chakula tu.Ndo maana usipompeleka kwenye majani atajifia hapo hana akili hata ya kutoroka. Shughulika na huyo Nduli anayewaleta ng'ombe kuchunga shambani kwako as if hilo ni chungio la ng'ombe. Awajibishwe mwenye ng'ombe kwa Sheria zilizopo. Ni kweli kwamba ss wafugaji (Baadhi yetu) ni wajeuri sana lakini ni waoga mno inapofikia Sheria.
Sisi huku kwetu tumeweka wigo (Masanzu ya miiba) kuzunguka shamba ili kuwazuia ng'ombe, mbuzi, punda n.k. Lakini bado Wachungaji kwa ujeuri wao hutoboa/wanaondoa baadhi ya miiba(Masanzu ) ili mifugo yao iingie halafu mifugo ikiingia wao wanajificha kuangalia/kuchungulia ni nini kitaendelea. Ni wapuuzi kweli-kweli.
Sishauri kuweka sumu kwani sumu yaweza kudhuru hadi binadamu. Je, utapenda kuhesabika kwamba wewe ni mwuaji/umeua watu kwa sumu kisa ni ugomvi wa malisho(Kumbuka hawa jamaa hula mizoga).
sumu kwa binadamu ni mbaya kwa hao ng'ombe...
 
Back
Top Bottom