Nimemkuta mke wa jirani yangu guest house akienda kunyanduliwa

Utokea Sana nyumba hizi za kupanga wanaziita behewa yaani zile za kushare korido watu kuzungukana. Haya mambo tuombe tu Mungu azidi kukufunika pazia unaweza ukawa unatembea mtaani bodaboda wanakusanifu tu wanajua udhaifu wako kupitia mkeo.
Aise hawa bodaboda ndo hatari
 
Mimi nishawahi kukutana na mwalimu wangu wa chuo alikuwa kama na umri wa miaka 43 lodge nimeshalipia naenda kuingia chumbani namkuta nae anaingia lodge macho kwa macho basi toka siku hiyo somo lake sijawahi kufeli mpaka namaliza semester na somo nikawa hata sisomi sana somo lake najua nafaulu tu tena akawa rafiki angu toka siku asikwambie mtu taulo na shuka za lodge zinabeba siri nzito
 
Hapo sawa
 
Kwenye maisha yako mtoto wa kiume usiguse mke wa mtu. Ni laana lazima na mkeo ataliwa! Kama umekubuhu itakuwa hivyo hivyo kwa mkeo.

Kucheat inaweza kutokea lakini ukitafuna mke wa mtu usijekuchanganyikiwa pia ukikukuta mkeo akiliwa! Kama unajiheshimu na unakula mke wa mtu kimya kimya na wako ataliwa kimya kimya hivyo hivyo. Kama unabisha fatilia wala wake za watu nini hutokea.

Mimi toka enzi hizo niliapa sigusi mke wa mtu! Hata nikutane na tamaa ipi, wanawake wamejaa wa kila aina hakuna sababu ya kuhangaika na mke wa mtu. Kama unahisi roho itakuchomoka ukijua unagongewa basi kaa mbali na wake za watu roho isijekukuchomoka kweli au kupata stress na kuona life haina maana [emoji1787]



Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Inabidi nimwambie alete 1m unless nimtonye jamaa
Unatafuta ugomvi na jamaa muda si mrefu.
Labda nimuone mke wa mdogo wangu au kaka wa tumbo moja maana hapa atatuletea damu nyingine.
Mimi hata nikimuona mke wa rafiki yangu siwezi kusema watajuana wenyewe hata km rafiki yangu tumeshibana vipi. Endelea kumfuatilia mwisho wa siku huyo mwanamke atasema kwa jamaa umemtongoza. Uone timbwili lake
 
Aise hawa bodaboda ndo hatari
Hao viumbe upenda Sana offer ya usafiri,pili bodaboda ndio uwapeleka wake za watu, pisi kali, watoto wa shule,chuo wanawake kiujumla mnadani kuliwa nyama so ni rahisi nao kupewa offer ya mbususu.
Hao wenzetu hawana cha ziada maishani cha kutupa asante zaidi ya hicho wao uwapa watu kama asante.Thus ukiwapesha pesa malipo ni kudra Sana zaidi atakulipia kupitia huko.
 
😃😃😃Unakopesha pesa malipo ni mbususu
 
🤔🤔🤔 Nitafanya hivyo Kwa sababu yeye ni mbea sana
 
Aah huyo ni mchache ukikaribia kumaliza nyumba yako mlambe alf uondoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…