Kwa kweli uvumilivu utanishinda. Naona kwanza nimchimbe biti huyu mchepuko wake😬😬😬 akizingua namchomea au unasemaje mkuuMimi nikiona mtu anaibiwa, naona Kama naibiwa Mimi by mwana fa
Kikubwa msaidie huyo jamaa, Kama sio kwa ajili yake Basi hata kwa ajili ya kizazi chake
Stress wapi mzinzi huyu, mume ana Kila kitu anataka nn Kwa kijana mchafu mchafu kama yuleWewe shida Yako nini
Mwache mama G apunguze stress
Ndoa ngumu sana
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Kijamaa cha hovyo ndiyo kipoje?Huyu jirani yangu tunaheshimiana sana yaani katika watu safi hapa kitaa ni huyu jirani yangu, maisha safi Hana njaa na ni mtu tunapeana advice ya hapa na pale yaani Kwa kifupi jamaa ni mtu mmoja cool sana.
Jana nimekutana na jamaa tumeongea mengi sana na alinambia anataka kujenga shopping mall Kuna kiwanja ana mpango wa kununua kwakua ni katikati ya mji inamlazimu alipe fidia ya milion sio chini ya 200 ili avunje nyumba zilizopo ndo apate kiwanja na alipanga kiwanja aandike jina la mke wake mama G kwani anampenda sana.
Ilikua ni katika kusogeza mda tu mimi kulikua na mtoto wa chuo nasubiri appointment yake nikamnyandue.
Tumeachana na jamaa ya mida ya saa mbili usiku wakati huo NAMI pisi ilikua ishafika tukapata shot mbili tatu Kisha safari ikawa ni kwenye uwanja wa mapambano (lodge)
Ile nafika tu nikaoneshwa chumba nikaona kipo safi kinaendana na thamani ya pesa ninayolipa Kisha nikamuacha mchumba ndani na kurudi mapokezi kulipia room
Nafika mapokezi nakutana USO Kwa USO na mke wa jirani yangu Yani huyo mama G mwenyewe Sasa yupo na kijamaa kimoja Cha hovyo wakiwa wanalipia chumba pale kwaajili ya kunyanduana[emoji33][emoji33]
Alafu bila aibu akanisalimia huku akitabasamu na kunipa mkono[emoji51][emoji51][emoji51][emoji706]
I nearly rejected her greetings lakini nikaona poa tu kwani Nini?
Nikamsalimu pia
That was so shocking to me[emoji33][emoji33]
I had to change the venue room yenye sikulipia nikatoka nje na kumcheki mchumba oya tuondoke apo sio poa vibaka ni wengi sana.
[emoji848][emoji848]Nipo kuwaza hapa yaani ata show yenye nilipiga kinyonge Sana[emoji846]
Acha kuendekeza dhiki kama MboeInabidi atoe milioni 1
Wanawake waki Tanzania wachache sana wanao angalia uvaaji tofauti na Wazungu wao wanaangalia upendo kama unawapenda tu mavazi kwao siyo kipaumbele kwasababu mavazi yana badilika lakini roho aibadilikiKichafu kichafu hakieleweki, afu kilevi sana
Mkuu upendo Gani Kwa mke wa mtu zaidi ya tamaaWanawake waki Tanzania wachache sana wanao angalia uvaaji tofauti na Wazungu wao wanaangalia upendo kama unawapenda tu mavazi kwao siyo kipaumbele kwasababu mavazi yana badilika lakini roho aibadiliki
Acha uchawaHuyu jirani yangu tunaheshimiana sana yaani katika watu safi hapa kitaa ni huyu jirani yangu, maisha safi Hana njaa na ni mtu tunapeana advice ya hapa na pale yaani Kwa kifupi jamaa ni mtu mmoja cool sana.
Jana nimekutana na jamaa tumeongea mengi sana na alinambia anataka kujenga shopping mall Kuna kiwanja ana mpango wa kununua kwakua ni katikati ya mji inamlazimu alipe fidia ya milion sio chini ya 200 ili avunje nyumba zilizopo ndo apate kiwanja na alipanga kiwanja aandike jina la mke wake mama G kwani anampenda sana.
Ilikua ni katika kusogeza mda tu mimi kulikua na mtoto wa chuo nasubiri appointment yake nikamnyandue.
Tumeachana na jamaa ya mida ya saa mbili usiku wakati huo NAMI pisi ilikua ishafika tukapata shot mbili tatu Kisha safari ikawa ni kwenye uwanja wa mapambano (lodge)
Ile nafika tu nikaoneshwa chumba nikaona kipo safi kinaendana na thamani ya pesa ninayolipa Kisha nikamuacha mchumba ndani na kurudi mapokezi kulipia room
Nafika mapokezi nakutana USO Kwa USO na mke wa jirani yangu Yani huyo mama G mwenyewe Sasa yupo na kijamaa kimoja Cha hovyo wakiwa wanalipia chumba pale kwaajili ya kunyanduana[emoji33][emoji33]
Alafu bila aibu akanisalimia huku akitabasamu na kunipa mkono[emoji51][emoji51][emoji51][emoji706]
I nearly rejected her greetings lakini nikaona poa tu kwani Nini?
Nikamsalimu pia
That was so shocking to me[emoji33][emoji33]
I had to change the venue room yenye sikulipia nikatoka nje na kumcheki mchumba oya tuondoke apo sio poa vibaka ni wengi sana.
[emoji848][emoji848]Nipo kuwaza hapa yaani ata show yenye nilipiga kinyonge Sana[emoji846]
Huyu ni chizi maaarifa na maarifa hayamsaidiiWewe mjinga unapenda sana kuwa criticism kwenye nyuzi za wenzako wewe unatumaga sana mikojo humu lkn tunakunyamazia,umeenda jukwaa la entertainment ukaharibu Uzi WA Omughaka punguza ujuaji mjinga wewe
Mambo yenu ya kufikirikaaaBasi usimalize kusoma basi usimalize kusoma
Ujue ukisoma moyo wangu unauchoma
mme ananunua kiwanja kwa millioni 200 wewe unataka millioni 1. omba 10 au zaidi.Inabidi nimwambie alete 1m unless nimtonye jamaa