DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Huyu jirani yangu tunaheshimiana sana yaani katika watu safi hapa kitaa ni huyu jirani yangu, maisha safi Hana njaa na ni mtu tunapeana advice ya hapa na pale yaani Kwa kifupi jamaa ni mtu mmoja cool sana.
Jana nimekutana na jamaa tumeongea mengi sana na alinambia anataka kujenga shopping mall Kuna kiwanja ana mpango wa kununua kwakua ni katikati ya mji inamlazimu alipe fidia ya milion sio chini ya 200 ili avunje nyumba zilizopo ndo apate kiwanja na alipanga kiwanja aandike jina la mke wake mama G kwani anampenda sana.
Ilikua ni katika kusogeza mda tu mimi kulikua na mtoto wa chuo nasubiri appointment yake nikamnyandue.
Tumeachana na jamaa ya mida ya saa mbili usiku wakati huo NAMI pisi ilikua ishafika tukapata shot mbili tatu Kisha safari ikawa ni kwenye uwanja wa mapambano (lodge)
Ile nafika tu nikaoneshwa chumba nikaona kipo safi kinaendana na thamani ya pesa ninayolipa Kisha nikamuacha mchumba ndani na kurudi mapokezi kulipia room
Nafika mapokezi nakutana USO Kwa USO na mke wa jirani yangu Yani huyo mama G mwenyewe Sasa yupo na kijamaa kimoja Cha hovyo wakiwa wanalipia chumba pale kwaajili ya kunyanduana😱😱
Alafu bila aibu akanisalimia huku akitabasamu na kunipa mkono😬😬😬🚮
I nearly rejected her greetings lakini nikaona poa tu kwani Nini?
Nikamsalimu pia
That was so shocking to me😱😱
I had to change the venue room yenye sikulipia nikatoka nje na kumcheki mchumba oya tuondoke apo sio poa vibaka ni wengi sana.
🤔🤔Nipo kuwaza hapa yaani ata show yenye nilipiga kinyonge Sana🙂