Oya Tusepe
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 265
- 870
Sasa hebu mpe ushauri faza. Huyo dogo kwa mtazamo wako unataka aandaliwe chakula na nani? Aingie jikoni akajiandalie? Au amuandalie yeye mwenyewe faza haus?? Toa maoni mkuuπ huyu faza hausi mjinga sana.....
Wanawake unatakiwa uishi nao kikatiii na jeurWanawake hua wanataka freedom,huyo dogo kampangishie chumba huko nje,
Dogo amekuja kufanya kazi/Kuishi,sio mgeni,
So,hawezi kupata treatment kama mgeni kwa siku zote,tatizo lako mleta mada,unaona kumuendesha mkeo hata kwa sababu za kijinga,eti ndio uanaume,
Uanaume ni busara,kujua una solve vipi issue za kifamilia,kuisimamia familia yako,
Sasa wewe jambo dogo kama hilo unakimbilia kulianika mtandaoni? halafu watu wakikushauri unawatukana na kuwakasirikia,sasa ulianzisha mada ya kazi gani?
Do go akileta pesa usimwambie hu yo Delila wakoDogo kamaliza form four nikaona aje apige kazi ya salon, picha nimeona dalili sio nzuri,
Juzi nimemkuta dogo anakula maandazi kashika mkononi, aliambiwa achukue tu katika deli, badala ya amuandalie wakati siku za mwanzo alikuwa anamuandalia. Nikamwambia hakikisha unamwandalia Chakula isijirudie tena.
Majuzi nimemnunulia dogo shati nikasikia anaongea "eeh nguo mnajinunulia tu wenyewe" . nikamwambia we sijakununulia majuzi tu. jibu lake "hata kama"
Visirani visivyokoma utakuta siku mbili kafunga uso.
Hana akili aisee, dogo anatuingizia hela kila siku hesabu kutoka salon anashindwa kujua hilo. ujinga tu hawa watu.
Aaahh eti anapitia same changamotoKumbe na wewe unapitia hiyo changamoto na Mkeo?
Mbona Wajukuu zangu wote hawana hiyo tabia, au walikuwa wakinificha Babu yao π
Kwanini bossDo go akileta pesa usimwambie hu yo Delila wako
Hahaha.............. hayo mambo zipo familia nyingi zinayapitia.Aaahh eti anapitia same changamoto
Kwahiyo tuogope kusaidia ndugu zetu kisa watakula wake zetu..?? Akili za hovyoAkimla tulia tuliii
hahahWanawake unatakiwa uishi nao kikatiii na jeur
muhuni uyoKwahiyo tuogope kusaidia ndugu zetu kisa watakula wake zetu..?? Akili za hovyo
hivi tabia za kiswahili ndo zikoje? samahani.Kitu ninachojaribu kukiepuka kuliko nyoka ni kuoa mwanamke mwenye tabia za kiswahili. Ni kujitakia kifo kwa kelele na maumivu ya kichwa.
pima sms za kujibu boss vichaa wa ticktock haoSasa hebu mpe ushauri faza. Huyo dogo kwa mtazamo wako unataka aandaliwe chakula na nani? Aingie jikoni akajiandalie? Au amuandalie yeye mwenyewe faza haus?? Toa maoni mkuu
Kwani kwenye familia yenu kila mtu anajiandalia chakula kivyakevyake?Sasa ndo mkeo amuandalie chakula? Huyo ni mtoto wake kimahusiano lazima dogo atumwe na mkeo. Acha dharau kwa mke wako.
akikujib nitagKwani kwenye familia yenu kila mtu anajiandalia chakula kivyakevyake?
Kwa kweli cultures zinatofautianaKila ndugu yake wakiume akija kukaa kwake amtagutie chumba Ili asigombane na mkewe?. Na ndugu wa mke nao wakija iweje?.
Hakuna cha nyama wala nini,huu ni ugomvi unaohusu Maandazi na shati jipya,au hujasoma mada?
Wewe naona unamchokoza sana chogo mkuu mi namuogopa huyoooSpeaking honestly........ BRAZA CHOGO Leo umenifurahisha kwa nondo Kali....
kumbe sio kila wakati umetawaliwa na muhogo wa jang'ombe....
Uje nioe kabisa nilikuwa KATAA NDOA.....
Itabidi nikuoe sasa
Au unataka ukammalizie Poor Brain kama alivyomfanya mwalimu na kukiona kifo......