Oya Tusepe
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 265
- 870
Sasa hebu mpe ushauri faza. Huyo dogo kwa mtazamo wako unataka aandaliwe chakula na nani? Aingie jikoni akajiandalie? Au amuandalie yeye mwenyewe faza haus?? Toa maoni mkuu😂 huyu faza hausi mjinga sana.....