Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

Wanawake hua wanataka freedom,huyo dogo kampangishie chumba huko nje,
Dogo amekuja kufanya kazi/Kuishi,sio mgeni,
So,hawezi kupata treatment kama mgeni kwa siku zote,tatizo lako mleta mada,unaona kumuendesha mkeo hata kwa sababu za kijinga,eti ndio uanaume,

Uanaume ni busara,kujua una solve vipi issue za kifamilia,kuisimamia familia yako,
Sasa wewe jambo dogo kama hilo unakimbilia kulianika mtandaoni? halafu watu wakikushauri unawatukana na kuwakasirikia,sasa ulianzisha mada ya kazi gani?
Wanawake unatakiwa uishi nao kikatiii na jeur
 
Dogo kamaliza form four nikaona aje apige kazi ya salon, picha nimeona dalili sio nzuri,

Juzi nimemkuta dogo anakula maandazi kashika mkononi, aliambiwa achukue tu katika deli, badala ya amuandalie wakati siku za mwanzo alikuwa anamuandalia. Nikamwambia hakikisha unamwandalia Chakula isijirudie tena.

Majuzi nimemnunulia dogo shati nikasikia anaongea "eeh nguo mnajinunulia tu wenyewe" . nikamwambia we sijakununulia majuzi tu. jibu lake "hata kama"

Visirani visivyokoma utakuta siku mbili kafunga uso.

Hana akili aisee, dogo anatuingizia hela kila siku hesabu kutoka salon anashindwa kujua hilo. ujinga tu hawa watu.
Do go akileta pesa usimwambie hu yo Delila wako
 
Aaahh eti anapitia same changamoto
Hahaha.............. hayo mambo zipo familia nyingi zinayapitia.

Ni vile wamekosa platform ya kukiri hadharani

Ndiyo ile Wajerumani wanasema, kufa na tai shingoni
 
Kitu ninachojaribu kukiepuka kuliko nyoka ni kuoa mwanamke mwenye tabia za kiswahili. Ni kujitakia kifo kwa kelele na maumivu ya kichwa.
 
Sasa hebu mpe ushauri faza. Huyo dogo kwa mtazamo wako unataka aandaliwe chakula na nani? Aingie jikoni akajiandalie? Au amuandalie yeye mwenyewe faza haus?? Toa maoni mkuu
pima sms za kujibu boss vichaa wa ticktock hao
 
Kila ndugu yake wakiume akija kukaa kwake amtagutie chumba Ili asigombane na mkewe?. Na ndugu wa mke nao wakija iweje?.
Kwa kweli cultures zinatofautiana
Kama mke mbaya kwa mdugu zako kwanini ujiumize roho?
Unakuta wengine wamelelewa bila kuwa na upendo na mtu
Wapo wanaochukia mpaka mama mkwe akija hata kutembea tu
Nafikiri mgeni au ndugu wawe na limits
 
Hakuna cha nyama wala nini,huu ni ugomvi unaohusu Maandazi na shati jipya,au hujasoma mada?
Screenshot_20250109-162824.png

Kwa Nia njema tu,
Unapendaga majibizano yasiyo na tija 🤔 mstari wa mwisho unasemaje? Hapo au upewe MIWANI hujaona nucta then hapo baada ya nucta na neno CHAKULA.

Salamaleko.
 
Speaking honestly........ BRAZA CHOGO Leo umenifurahisha kwa nondo Kali....

kumbe sio kila wakati umetawaliwa na muhogo wa jang'ombe....

Uje nioe kabisa nilikuwa KATAA NDOA.....

Itabidi nikuoe sasa

Au unataka ukammalizie Poor Brain kama alivyomfanya mwalimu na kukiona kifo......
Wewe naona unamchokoza sana chogo mkuu mi namuogopa huyooo
 
Back
Top Bottom