Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

Ngoja niheshimu nukuu za wahenga..

Sito jibizana na wewe

NB.
If you can use that energy for your life, then you will not begging for food.
 
haya mambo kuyamonita mpaka usome cuba,ndo utaelewa.
 
Babu kwa ushauri wako huu akimpangia chumba tu na biashara inaenda kufa mazima..!!
Dogo hatokubali alale peke yake ghetto lazima atafuta wa kumpa kampani (Kausha damu)

Muhimu huyo faza hausi apunguze ubabe huyo dogo vitu vidogo vidogo awe anafanya mwenyewe..!!
Na maza hausi naye apunguze gubu
 
Jirani yangu mmoja alikuwa anatakiwa kuchotea shemeji zake maji ya kuoga...hivi kweli?!
Kuna makabila yana itikadi za kijinga sana, wengine wakifiwa na waume zao basi anarithiwa na shemeji yake..!!
 
Af ukiweza kuna vitu kwenye familia viache idara ya mkeo.
Sasa mwanaume unajua mpk nani kashika andazi, nani kaosha kijiko.

Ndo mana unapigwa vijembe badala ya mtu kuleta hoja mezani, iwapo kuna ulazima
 
aiseeh!
 
Hahaha.......kwahiyo hofu ni kwamba Dogo ataanza kuiba ili kuweza kupata wapenzi

Vipi lakini akiendelea kukaa humo humo ndani hatotamani kumwiba Shemeji yake? Manake upwiru atakuwa nao pale pale
 
niache ili mambo yaharibike natazama?
 
Yaani Hako katoto ndio kaandaliwe chakula? Kwa nini kenyewe kasiende kuchukua msosi ulioandaliwa?

Ndoa tamu ,hiyo ni treila
 
Hahaha.......kwahiyo hofu ni kwamba Dogo ataanza kuiba ili kuweza kupata wapenzi

Vipi lakini akiendelea kukaa humo humo ndani hatotamani kumwiba Shemeji yake? Manake upwiru atakuwa nao pale pale
na ndo wanakoelekea.
Dogo atapewa, kirahisi kabisa.
Atarudi hapa kuomba ushauri
 
na ndo wanakoelekea.
Dogo atapewa, kirahisi kabisa.
Atarudi hapa kuomba ushauri
Na kama mnavyojua, Vijana wa miaka 20 hadi 27 wanavyokuwa wamoto

Watafanya hadi sisi Wanaume zao tuonekana hatuna nguvu, maana si huwa tunapiga kimoja chali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…