Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

Mueleweshe kuwa dogo unamtumia kiuchumi. Sema mkeo anaweza ropoka
 
1. Dogo hapaswi kuandaliwa chakula...ajichukulie mwenyewe acha utemi..mfanye familia ajihudumie mwenyewe..mume ni mmoja tu hapo.
2. Mkeo naye njaa kali sharti tu ameleta kamdomo!
 
Chakula si kiwekwe tu sehem Mtu ajichukulie jamani tena kijana mdogo
 
Ampikie ampakulie hapana uho ni ubwege uyo dogo anashindwa kupakua mnawalemaza hao vijana tena ingebidi mchana asonge ugali wali wote kama wewe haupo
 
mkuu hapo usicheke na kima simamia hapo hapo, hakikisha dogo anaishi vyema ili awe na morale ya kazi. Hawa viumbe "ke" nao wana madhaifu yao ikiwemo ubinafsi
 
Wanawake ni wabinafsi sana, nilipiga marufuku ndugu zake kwangu baada ya wakwangu kufanyiwa figisu na akanuna akaondoka sikupiga simu wala kumtafuata. Karudi na Baba na Mama yake kuomba radhi, nimewarudisha natafakari mpango wa kuishi na wanangu tu.
Hongera sana mkuu. Wanaume wanatakiwa wawe kama mimi nawewe una simama wewe kama wewe hapa jukwaani una letya feedback tu ziwe nzuri ama mbaya but tyr maamzi ulikwisha chukua
 
Kwenye case ya huyu jamaa mi nimeona issue ni moja tu ya kueleweka. Wife kugomba sababu tu dogo kanunuliwa nguo. Ila hilo la kutaka dogo atreatiwe kama mume nae, sio mchongo
Kabisa ujinga uho mm nilikaa na shemeji yng wakike yule ni mchoyo ila bro alikuwa anajua ila anakausha chakula nilikuwa napika nakula na bro siku akinuna
 
Mkuu hapo kwenye ulafi wa maugali aisee hakika wanawake karibi asilimia 90 ni walafi wa maugali na wabinafsi na wana roho mbaya na ukitaka kumjua mkeo subiri ndugu zako waje kwako wakae hata siku mbili…
 
Wanawake mna ubinafsi sana.

Kwanini hampendi ndugu wa Mume?
Kwasababu ndugu wa mme mna kiranga sana 😹😹

Yani we unaweza kuwa kwako unakula dona na harage ila ukienda kwa mke wa kaka ako ukila tu hata wali maharage yatakutoooookaaaa aaah si ungebeba hiyo nyama unayoitaka kula πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkeo ana umri gani, elimu na kabila gan?
Mkeo atakuwa ametoka familia masikini sana
 

Wanawake acheni roho mbaya.

Mnakuwa wachoyo hadi aibu, Mnaumia ndugu kula ugali.
 
Wanawake acheni roho mbaya.

Mnakuwa wachoyo hadi aibu.
Ni hivi hakuna mtu anaependa kuingiliwa kwenye himaya yake....hata wewe faza hausi akija kidume ndani akakaa levo za faza hausi hautataka.

Sasa ndugu zenu wanashindwa kuelewa hiyo ni himaya ya mwanamke mwengine wanakaa bila mipaka....jua tu lazma moto uwake hata kama ni wa chini chini.

Solution: kila mtu akae kwake
 
Naunga mkono hoja yako

Huwezi mleta mdogo wako af utake asifanye chochote hasa ha watoto wakiume hawa hizi ni lawama kabisa kwangu mgeni wa kiume kama hana msaada wowote atakaa siku tatu tu kesi najua zitakuwa nyingi toto linalala mpaka saa nne wewe mwenye nyumba umeamka una angaika na fagio kusafisha uwanja NO
 

Huu ni Ubinafsi wa kiwango cha juu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…