Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

Heshima sio lazima magoti na kuchota maji. Shemeji wanalingana umri na watoto waliopo ndani ya nyumba ambao kazi wanapangiwa kujaza maji ndani. Kwa malezi sawa ya wote hizo ni kazi za kawaida ndani ya nyumba yao.
Angalizo, huhitaji lugha kali ku drive a point home
 
una mawazo ya kipepo
Mkuu sio mawazo ya kipepo bali ni uhalisia
Yanatokea sana hii dunia ina watu wa ajabu
Kama ukianza kumkaripia mkeo hivyo, kesho atachana nguo aseme kataka kunibaka
Kesi hizi nimezisimamia nilipokuwa nafanya kazi za matatizo katika jamii

Nikupe ushauri wa kiume mtafutie chumba hata cha bei rahisi la sivyo utapata shida sana Kama mke katokea kumchukia
 
Kama sehemu ipo kubwa hapo nyumbani kwanini akapange?

Wahindi wanaishi pamoja ukoo mzima kwenye nyumba moja na wana upendo sana wanarithishana biashara na mitaji.

Nyie kuishi na dogo wa form four tu ni nongwa, ulafi wa ugali tu.

Aisee nachukia watu walafi wa maugali.... I hate it deeply and passionately.

Nikimbaini mtu mlafi namcharaza bakora halafu namfukuza.
 
Huyo mwanamke mfuga kucha nilitaka kumjibu kama hivi. Afadhali umenisaidia mkuu.
 
Dogo kamaliza form 4. Unataka mkeo amtengee chai kwa heshima na adabu. Ikibidi apige na goti....hivi unamchukulije mkeo?
Au unataka huyo dogo amchukulieje mkeo?
Muwe mnaelewa mantiki ya somo.

Kushikishwa mandazi na wenyeji ni heshima gani wakati vyombo vipo bila kupata miongozo ya kuvitumia?

Mtoa miongozo ya kiutawala hapo nyumbani ni mwanamke.

Kijana kaja kuishi hapo, inatakiwa apewe muongozo kuanzia chumba chake cha kulala, vyombo vya kusevia chakula na ratiba za usafi wa mazingira ikiwemo choo na bafu nk nk.

Hapo huyo mke hapendi ndugu wa mumewe aishi hapo, ingelikuwa ni ndugu zake hawezi kuwashikisha mandazi mikononi bila kuwapa maelekezo.

Hapo mwanaume anatakiwa kuchukua hatua za kidiplomasia kwanza na zisipotekelezwa achukue hatua madhubuti kukomesha huo upumbaf.
 
tayari nimeanza kuchukua hatua mapema tu
 
Wengi tunachukia hizi tabia za wake zetu

Kiasili Wanawake wengi hawapendi ndugu za Waume zao

Tena wakati mwingine hadi Mama Mzazi wa Mwanaume anafukuzwa kwenye nyumba ya mtoto wake na Mkwe wake (Mke wa mtoto wake wa kiume)

Mwanaume usipokuwa na msimamo lazima hayo yatakutokea
 
Wa
Wakija ndugu zao wanawake utashangaa mke anajikomba komba uwanunulie kuku ndugu zake na mambo ya ajabu ajabu... Mpangishie dogo huyo ni ndugu Yako hawezi kukuacha lakini Mwanamke muda wowote mbele
 
Wa

Wakija ndugu zao wanawake utashangaa mke anajikomba komba uwanunulie kuku ndugu zake na mambo ya ajabu ajabu... Mpangishie dogo huyo ni ndugu Yako hawezi kukuacha lakini Mwanamke muda wowote mbele
ndo ivyo mkuu niliona kule kijijini atapauka tu na ndo kamaliza form 4, apa anapiga salon, nitafanya ivyo ila kwa sasa hata mwezi hajamaliza
 
MWANAUME USIETIA KILEO KINYWANI WAZAZI WAKO HAWAWEZI KUHESHIMIWA NA MKE WAKO COZ UNAKUWA UPO UPO LAKINI ANAYETIA KILEO KILA SIKU SIMU ZINAPIGWA KWA WAZAZI JAMANI LEO AMEFANYA HIV KESHO VILE halafu wazazi wakija mrume anaacha siku kazaa mke anaombea wabaki wazazi Wakiondoka unatoa lock πŸ”
 
ni upumbavu kushuhudia ndgu zako Wananyanyaswa huku unaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…