Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

Kabisa mzee mwenzangu ,kheri ya mwaka mpya .
Uko uliko hakuna kabinti kadogo kanakotaka kuolewa nimechoka kujiuguza na majeraha ya kudondokea mitaroni ninapotoka klabuni
Hahaha..........Kuna Binti wa Mzee Juma hapa jirani alimaliza kidato cha nne Mwaka Juzi, nafikiri huyu atakufaa Mzee mwenzangu, Kwa maana namwona yupo busy na shughuli za Kilimo tu

Heri ya Mwaka Mpya kwako Mkuu, ni neema ya Mungu kuweza kuona Mwaka Mpya
 
Aah bro...si utafanya hata mkeo akose viheshima fulani maana ufanyacho wewe hata wengine wataiga na kufanya ndio utaratibu.
 
Braza
chogo unatokea ukerewe afu Leo upo serious kinoma πŸ˜‚
 
Wanawake hua wanataka freedom,huyo dogo kampangishie chumba huko nje,
Dogo amekuja kufanya kazi/Kuishi,sio mgeni,
So,hawezi kupata treatment kama mgeni kwa siku zote,tatizo lako mleta mada,unaona kumuendesha mkeo hata kwa sababu za kijinga,eti ndio uanaume,

Uanaume ni busara,kujua una solve vipi issue za kifamilia,kuisimamia familia yako,
Sasa wewe jambo dogo kama hilo unakimbilia kulianika mtandaoni? halafu watu wakikushauri unawatukana na kuwakasirikia,sasa ulianzisha mada ya kazi gani?
 
Ili la dogo ku
chukua maandazi kweny deli sioni shda in fact kama ni Anko wako na sawa na mtot wenu pia,na mtot kuandaliwa chakula na mamake sio poa anaweza kwenda kuchukua tu peke Ake ,kwanza kama ndo kamalza kdato hakuna shda,, labda la mke kuongea ongea lakn pia bible umesema tuishi nao Kwa akili maana ni viumbe dhaifu ,, hapo tuu msifie dogo ukiwa na mke wako kua walau kipato Cha familia kimeongezeka baada ya dogo kuja kweny saloon ,mwambie aone umuhim wa dogo ,alaf mletee mkeo zawad naye peke Ake
 
Acha ujinga mkeo amuandalie chakula dogo kama nani? Acheni kuwapa majukumu ya ma house girl wake zenu. Dogo Γ natakiwΓ  atumwe na mkeo jikonu Γ kalete chai mezani.
Wanaume wengine mnatuaibisha.
 
Mkuu Kama ni dar vyumba ni elfu 40-50, mkoani hadi 30 una pata.
godoro used hadi 80 zuri.

halafu kijana si Ume muajiri, mbona una taka kumpa vyeo viwili??. yaani umpe kazi na umpe mfanya kazi ambae ni mkeo!!.

angalia uta gongewa na si mayai.
Dogo ni mtoto wa dada yangu mkuu sijamuajir tunapiga kaz apa salon nimempa kitu na mashine tujenge uchumi naye apate ya sabuni
 
Wacha niangalie namna nikaribie kwa mzee Juma nitume washenga nione wao wanasemaje .
 
Huyu ng'ombe ndo anasababisha wanaume tunaonekana hatuna busara.
 
Viumbe hao ni hatari sana,wana Roho mbaya
 
Dogo hashindi nyumbani kutoka sa 2 kurudi sa 2 freedom gani?
 
Ndio walivyo, wanataka ndugu zao tuu ndio wajazane!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…