Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

Kuna siku atamuandalia chakula chako ndio utanyooka. Mkeo ni boss wa huyo anko acha kumshushia heshima.

Huyo kijana alipata privilege ya kuandaliwa akiwa mgeni ila sio utaratibu. Yeye ndio inatakiwa awaandalie nyinyi acha ujinga
 
Kuna siku atamuandalia chakula chako ndio utanyooka. Mkeo ni boss wa huyo anko acha kumshushia heshima. Huyo kijana alipa privilege ya kuandaliwa akiwa mgeni ila sio utaratibu. Yeye ndio inatakiwa awaandalie nyinyi acha ujinga
we boya ujaoa usikomemt huku
 
Acha agongewe na malengo ya saloon waanze kupiga mkewe na anko.
 
Wanawake ni wabinafsi sana, nilipiga marufuku ndugu zake kwangu baada ya wakwangu kufanyiwa figisu na akanuna akaondoka sikupiga simu wala kumtafuata. Karudi na Baba na Mama yake kuomba radhi, nimewarudisha natafakari mpango wa kuishi na wanangu tu.
Huo ndio uanaume s kulia lia tu
 
Unafeli sana ukishafikia utu uzima kuna vitu vidogo kama hivyo unapotezea mwisho utakuja kuonekana una gubu
 
Mkuu mpangie dogo chumba hawa wanawake wengi n wabinafsi sana angekuwa ndugu yake mambo yangekua tofaut
 
Kila ndugu yake wakiume akija kukaa kwake amtagutie chumba Ili asigombane na mkewe?. Na ndugu wa mke nao wakija iweje?.
 
Speaking honestly........ BRAZA CHOGO Leo umenifurahisha kwa nondo Kali....

kumbe sio kila wakati umetawaliwa na muhogo wa jang'ombe....

Uje nioe kabisa nilikuwa KATAA NDOA.....

Itabidi nikuoe sasa

Au unataka ukammalizie Poor Brain kama alivyomfanya mwalimu na kukiona kifo......
 
Wana wake wengi kuishi na ndugu za mwanaume ni kazi, kuna hawa wangoni, wanyakyusa ni tabu lele,but that woman,was an awesome i credit her☺
 
Mkuu ajabu sana juzi dogo katoka kupambana kaleta hesabu fresh nakuta anakula andazi kashika mkononi et kaambiwa achukue tu kule. nilimaindi sana
Kuhusu kuandaliwa menyu ilo nisiliingilie ila ninachosema ni kwamba wanawake wengi hawajui kumteka kutawala furaha ya mtu anaeishinae ili andelee kutumika kuzalisha hela. (hawajui kukaa na raslimali watu)
 
Umeandika makusudi tukutolee lugha chafu tupigwe ban? Unaharibu ndoa yako kipumbavu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…