Nimemlipia mchepuko Kodi ya nyumba Mil 4.8 kwa mwaka, Mapenzi yameongezeka Mara mbili

Ukirudi kwako wahuni wanajipigia bure
 
Hii kama sio Chai,Nyie wadada Mbinguni Mtapasikia tu kwa mnvyomfanya mtoto wa Mwanamke mwenzenu!
Sasa mdada kakosa nini jamani jamaa yake si kaamua mwenyewe kutoa hiyo pesa sidhan kama kalazimishwa
 
Mh details znafanana kwa mbali na kademu changu fulani kimehamia maeneo fulan hivi karbun na kodi ni hyo hyo! Alafu jana tu kalinilazimisha nlale nako hapo mpka morng
 
Hongera!!! Subiri akuzalie, hapo itapendeza zaidi
 
Siku michongo ikienda kombo ukose hata kod ya mwez, ndo utaisoma namba..huku unapewa maneno ya dhihaka na kidume mwenzio anapewa unavyo pewa hivi sasa, sidhan kama hizo raha utazkumbuka tena.

Jenga, wajengee wazazi, boresha uchumi wako, na wanao, kama vyote hivyo tayari, basi hakikisha zaka na sadaka unatoa, ili ujiwekee hazina mbinguni, kuliko hayo matatizo unayo palilia hapo.
 
Mungu aturehemu.Sikulaumu mkuu ila nakuonea huruma sababu huenda huyo dada amekumezesha chip kutoka kwa wale waganga.So unaweza ukawa unaendeshwa kwa remote bila wewe kujua (artificial intelligence)
 
Mm sijawai kumlipia manzi chumba Wala kageto tu na Bado nawal pisi Kali tu na mm
Nyie walipieni s amlali Mara kwa Mara mle tutawasadia kuwalinda pindi mrudipo kwa wake zenu ss tuatitwa kwenda kupeleka fire

Note
Wakat fln mwak 2020 nilikuwa nashare demu na mtu mmoja kigog wa serekalini mpka alivyokuja tumbuliwa ila Bado Yuko vzr ingawa pia demu Niko nae mbalii kwa sas ila najipigia popote
Nilisha mla had kweny hgari yake piga Sana tu
 
Siku utakapowakuta vidume wenzako wamejilaza humo ndani na wanamtafuna bure mchepuko utafanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…