🤣🤣🤣Hawa pendi kumuona mtu ametuliza kichwa ana starehe
Anachotaka ni hela yako, si hela.Naona mahusiano haya yatanishinda, asubuhi kaamka anataka nimtumie hela anunue gesi, mchana kanitumia meseji tena anataka nimsaidie kulipa ada ya chuo saa hizi anataka hela ya kwenda kusuka nimewaza na kuwazua sijamuelewa ikiwa kazi anafanya ya serikali na kuna mchongo nimemconnectia anapiga elfu 50 kila siku hata kama yupo nyumbani kalala. Wanawake wengine ni vichwa maji kwelikweli. yamenishinda
🤣🤣🤣🤣 saa zote wanataka kichwa kipate motoHawa pendi kumuona mtu ametuliza kichwa ana starehe
Na amepewa Mchongo wa "afu amsini" we huogopi 🤣🤣🤣Kwahiyo ni nwanafunzi au muajiriwa wa serikali?
Mwendo wa kupiga spanaamueleze mwenyewe mkuu kuwa 'it's over' kama tu una huo ujasiri, sisi hatutakuwa na cha kukusaidia hapa ndugu yetu zaidi ya kukusimanga...
Ifike pahala muache kuwa keyboard warriors, you have to deal with your people, kuja kulalamika humu kuhusu kila jambo dogo mnalokutana nalo kwenye mahusiano yenu halifanyi ninyi muonekane wema na wanawake wenu waovu, zaidi sana mnajenga picha ya kuonekana ninyi ndiyo dhaifu..!!
Hatari sana ni full mkanganyikoNa amepewa Mchongo wa "afu amsini" we huogopi 🤣🤣🤣