Nimempa mwanamke wangu mchongo wa kuingiza elfu 50 kila siku na bado ananiomba hela za matumizi

Ifike pahala muache kuwa keyboard warriors, you have to deal with your people, kuja kulalamika humu kuhusu kila jambo dogo mnalokutana nalo kwenye mahusiano yenu halifanyi ninyi muonekane wema na wanawake wenu waovu, zaidi sana mnajenga picha ya kuonekana ninyi ndiyo dhaifu..!!
Umesema ukweli be blessed
 
Naona mahusiano haya yatanishinda, asubuhi kaamka anataka nimtumie hela anunue gesi, mchana kanitumia meseji tena anataka nimsaidie kulipa ada ya chuo saa hizi anataka hela ya kwenda kusuka nimewaza na kuwazua sijamuelewa ikiwa kazi anafanya ya serikali na kuna mchongo nimemconnectia anapiga elfu 50 kila siku hata kama yupo nyumbani kalala. Wanawake wengine ni vichwa maji kwelikweli. yamenishinda
Ungemchana live mkuu, kutafuta sympathy huku wakati tatizo la msingi huja solve sio sawa. Naamini anayo mazuri yake mengi tu, embrace hayo mazuri, jifunze kuona mema yake zaidi huku ukimrekebisha pole pole kwa upendo maana nae ni binadamu hukosea.
 
hapo kuna bwana yake mwingine kamuomba pesa sasa ndio anakupukutisha wewe,
Mpe tu mkuu hapo unamsaidia mwanaume mwenzako bado hujapoteza.
 
Naona mahusiano haya yatanishinda, asubuhi kaamka anataka nimtumie hela anunue gesi, mchana kanitumia meseji tena anataka nimsaidie kulipa ada ya chuo saa hizi anataka hela ya kwenda kusuka nimewaza na kuwazua sijamuelewa ikiwa kazi anafanya ya serikali na kuna mchongo nimemconnectia anapiga elfu 50 kila siku hata kama yupo nyumbani kalala. Wanawake wengine ni vichwa maji kwelikweli. yamenishinda
We hujui pesa ya mwanamke ni ya kwake na atafanyia ujinga tu.. anaweza akalalamika akinunua
Chakula cha elfu 5 ila akaenda kubandika kucha za elfu 50... na marangi ya ajabu ajabu kama
Shumileta
 
mueleze mwenyewe mkuu kuwa 'it's over' kama tu una huo ujasiri, sisi hatutakuwa na cha kukusaidia hapa ndugu yetu zaidi ya kukusimanga...

Ifike pahala muache kuwa keyboard warriors, you have to deal with your people, kuja kulalamika humu kuhusu kila jambo dogo mnalokutana nalo kwenye mahusiano yenu halifanyi ninyi muonekane wema na wanawake wenu waovu, zaidi sana mnajenga picha ya kuonekana ninyi ndiyo dhaifu..!!
Hypergamy is baked into the female brain. It works ruthlessly and swiftly. If she sees a better option, she won't hesitate to jump from her current branch to a higher branch.
 
Back
Top Bottom