jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Mkuu hiyo pesa ni ndogo itakua hizo pesa ana jipanga kuna vitu ananunuaNaona mahusiano haya yatanishinda, asubuhi kaamka anataka nimtumie hela anunue gesi, mchana kanitumia meseji tena anataka nimsaidie kulipa ada ya chuo saa hizi anataka hela ya kwenda kusuka
Nimewaza na kuwazua sijamuelewa ikiwa kazi anafanya ya serikali na kuna mchongo nimemconnectia anapiga elfu 50 kila siku hata kama yupo nyumbani kalala. Wanawake wengine ni vichwa maji kwelikweli. yamenishinda