Nimempa mwanamke wangu mchongo wa kuingiza elfu 50 kila siku na bado ananiomba hela za matumizi

Mkuu hiyo pesa ni ndogo itakua hizo pesa ana jipanga kuna vitu ananunua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…