Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Yaani ye kaona ubinafsi wa upande mmoja hajaona ubinafsi wa wao kuja kumchukua mtoto wa mwanamke mwenzake, mwanamke gani atakubali atenganishwe na mwanae na akalelewe na mama wa kambo.

😅 kweli kosa vyote usikose akili!
Hahaha tushawastukia janja yao ya kuendekeza wivu wakatese watoto wa wenzao
 
Mpaka nimepata mimba means simtaki tena

Kwann? sasa usimuombe talaka kabla haujashika ujauzito kwa jamaa mwingine!!

Wengi sana wakipata ujauzito nje ya ndoa zao wanawabambikizia waume zao wa ndoa ila wanaume ndio hatuna cha kufanya sababu zetu zinakuwa wazi!!

Wababa wengi sana wamelea watoto ambao sio wao kibailogia na hatuna la kufanya mpaka leo wanajua watoto wao lakini wakina mama wanafahamu kabsa huyu na yule sio mtoto wa mme wangu- inauma
 
Iko hivi mkuu mimi personally naona mtu yoyote awe mwanamke au mwanaume akianza usaliti tu tayari upendo umekufa, hivyo nikiamua kuanza mahusiano na mtu nje ya ndoa ujue hapohapo naomba talaka, maisha mafupi hakuna haja ya kutesana
 
Iko hivi mkuu mimi personally naona mtu yoyote awe mwanamke au mwanaume akianza usaliti tu tayari upendo umekufa, hivyo nikiamua kuanza mahusiano na mtu nje ya ndoa ujue hapohapo naomba talaka, maisha mafupi hakuna haja ya kutesana

Hayaa Queen Kan
 
Mfukuzaji wa kwanza atakuwa ni mke aka maza house. Ila lawama zitakwenda kwa faza hausi.
Faza hausi ndo chanzo na msababishaji wa yote. Lol
Inaumiza mnooo.
 
Mwanadamu anayeendeshwa na matamanio yake ni sawa mnyama wa porini na huyo ni mpungufu wa akili........
Kiukwel sahv nimejiwekea mikakat sitak tena kuwa na tamaa za kijinga kijinga tena,zimenigharim kias na nimegundua wanawake hawana huruma hata kidogo

Kwanza ukifikiria vizur mbususu haina maajabu makubwa sana ya kutufanya tuhangaike hiv
 
[emoji1][emoji1][emoji1], haya Doctor......Kwenye justification upo vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnawaonea sana wadada wa kazi nyie mbwa kwa kuwafanya underdogs wa kuwatumia mtakavyo.
Ushamharibia maisha mtoto wa watu mbuzi katoliki mmoja.
Na kwa jinsi tumekushambulia utasoma comment huku umebana jicho moja kenge mwembetogwa.
 
Usichoshe watu wakati unakula housegirl ulitushirikisha? we wa vije? umemkosea sana mkeo yaani ingekuwa mie sikusamehe kabisa udhalilishaji huu umevuka kiwango khaaa
 
[emoji1][emoji1][emoji1], haya Doctor......Kwenye justification upo vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati Huwa Mimi sipokei simu hata za Wifez au nazikatakata ,Kila akipiga nakata, alituma meseji sijibuu, akapiga nakata, akituma meseji sijibuu.

Huwa nafanya Kwa MAKUSUDI KABISA...lkn nachofanya nakijua.


Kuna mchepuko wangu juzi ,nikiwa napiga stpri nao, nikawa nachomekea.... Mwanamke lazima uwe na Thaman, sio unampigia simu bwanakoo weee Kila Mara simu miaa, mameseji mengii weeeeee Kila Mara, .....

Tuma Mara mojaz au piga simu Mara Moja,. Ukiona hapokei Jua yupo bizeee, atakutafuta


Kwann nikichomekea hayo???

Yeye anaweza kukutumia meseji hata 20 Kwa wakati, mpaka unaniuliza, hivi yeye Hana kazi?.


Toka Jana naona MBINU yangu imefanya kazivile nilivyokua nataka 🤣🤣 🤣🤣
 
Unaupumbafu mwingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…