Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Yaani ye kaona ubinafsi wa upande mmoja hajaona ubinafsi wa wao kuja kumchukua mtoto wa mwanamke mwenzake, mwanamke gani atakubali atenganishwe na mwanae na akalelewe na mama wa kambo.

😅 kweli kosa vyote usikose akili!
Hahaha tushawastukia janja yao ya kuendekeza wivu wakatese watoto wa wenzao
 
Mpaka nimepata mimba means simtaki tena

Kwann? sasa usimuombe talaka kabla haujashika ujauzito kwa jamaa mwingine!!

Wengi sana wakipata ujauzito nje ya ndoa zao wanawabambikizia waume zao wa ndoa ila wanaume ndio hatuna cha kufanya sababu zetu zinakuwa wazi!!

Wababa wengi sana wamelea watoto ambao sio wao kibailogia na hatuna la kufanya mpaka leo wanajua watoto wao lakini wakina mama wanafahamu kabsa huyu na yule sio mtoto wa mme wangu- inauma
 
Kwann? sasa usimuombe talaka kabla haujashika ujauzito kwa jamaa mwingine!!

Wengi sana wakipata ujauzito nje ya ndoa zao wanawabambikizia waume zao wa ndoa ila wanaume ndio hatuna cha kufanya sababu zetu zinakuwa wazi!!

Wababa wengi sana wamelea watoto ambao sio wao kibailogia na hatuna la kufanya mpaka leo wanajua watoto wao lakini wakina mama wanafahamu kabsa huyu na yule sio mtoto wa mme wangu- inauma
Iko hivi mkuu mimi personally naona mtu yoyote awe mwanamke au mwanaume akianza usaliti tu tayari upendo umekufa, hivyo nikiamua kuanza mahusiano na mtu nje ya ndoa ujue hapohapo naomba talaka, maisha mafupi hakuna haja ya kutesana
 
Iko hivi mkuu mimi personally naona mtu yoyote awe mwanamke au mwanaume akianza usaliti tu tayari upendo umekufa, hivyo nikiamua kuanza mahusiano na mtu nje ya ndoa ujue hapohapo naomba talaka, maisha mafupi hakuna haja ya kutesana

Hayaa Queen Kan
 
Mwanadamu anayeendeshwa na matamanio yake ni sawa mnyama wa porini na huyo ni mpungufu wa akili........
Kiukwel sahv nimejiwekea mikakat sitak tena kuwa na tamaa za kijinga kijinga tena,zimenigharim kias na nimegundua wanawake hawana huruma hata kidogo

Kwanza ukifikiria vizur mbususu haina maajabu makubwa sana ya kutufanya tuhangaike hiv
 
Aahh Sasa nisikilize Mimi, Mzoefu.

Kilichomuumiza Mkeo ni wewe kumla mtu anayemjua Tena mnaishi naye Ndani , hiii huwaumiza sana Wanawake .

Kosa lako lapili, umemdhalilisha Mkeo, anajihisi hafai ,Tena Kwa dada wa kazi, yaan chepuka ila usichepuke na mtu wa karibu sana namkeo ,,(rafiki, Ndugu, dada wa kazi)

Kosa lako la kwanza, Kama umekiri kweli mimba ni yako ....

( Ilipaswa ukatae katakata kua sio yako, anakusingizia tuuu, huwez mpa mimba mwanamke kama huyo ,hizo shahawa Bora upigie punyeto, yaan Mke wangu nakuhapia, nakama unabishaa, SUBIRI MTOTO AZALIWE TUKAPIME DNA, NASEMA SUBIRI MTOTO AZALIWE, TUKAPIME DNA,'UMACHOMEKEA UONGO---- UZURI DNA NI MILIONI MOJA KUPIMA, NASEMAJE NITAUZA HATA HII PIKIPIKI YETU YA USAFIRI MKE WANGU, TUPATE HELA, TUPIME DNA, ".. NA MAJIBU YAKITOKA MTOTO SIO WANGU, NAKUAMBIE HIVI HUYO HUYU BEKI TATU ATANIKOMA SANAASANAA, NAWEWE PIAAA NDIO UTAJUA CHA KUFANYA, NA SITOKUSAMEHEE KWA KITENDO CHAKO HIII ) SUBIRI TU DNA ITOKEE, SUBIRI TUUU , YAANI UNANIPELEKA MAHAKAMAN BILA UHAKIKA WA JAMBO, ET KISA MANENO YA MDADA WAKAZI?? MBONA ULIKUA NA AKILI SANA ,ZAMAN ULIKUA MPAKA UNACHUNGUZA, NA USHAHIDI JUU, HIVI HUYU MTOTO AMEKUFANYIA MADAWA?? MBONA SIKU HIZI UMEKUA WAKUKUBALI KILA KITU??? AMEKUFANYIA MADAWA HUYU SIO BUREE !!.

yaan katika kipindi hiki Cha yeye kua nahasira ulitakiwa umfanye aendeke kua na hasira LAKINI ASIWE NA UHAKIKA WA KUA MIMBA NI YAKOOO WEWE , HUKU UKIMLAIMU, UNAENDA MAHAKAMAN KUNIABISHA BILA USHAHIDI, ET KISA MANENO ?? UNGEKUA NA AKILI UNGESEMA ,MUME WANGU NGOJA TUSIBIRI DNA,, MAMBO YA AJABU SANA, USISHANGAE HATA UMESHANITANGAZA KWA NDUGU ZAKO WOTE, JE UKIJA THIBUTISHA KUA MTOTO SIO WANGU?? UTAWAPIGIA SIMU NDUGU ZAKO UWAAMBIE KUA ULINISINGIZIA?? SASA KWAKUA UMENDHALALISHA , MIMI SIWEZI KUKUACHA WEWE NA KUACHA WANANGU WAKATI NAKUPENDA , ILA MAJIBU YA DNA YAKITOKA, YAAAN MTOTO AKIWA SIO WANGU, NDIO SASA NITAAMUA KUKUACHIA MJI HUU NIENDE KUISHI NA HUYO MTOTO HATA KAMA MTOTO SIO WANGU, NITAFANYA IVO ILI KUKUPA FUNDISHO .

au unajifanya [emoji117] kama vipi wee ndio kapange, kama atazaa na DNA ikaonyesha sio wangu , ndio nitakuita urudi . ( EPUKA KUTUMIA MANENO LA HAYA "DNA IKIONYESHA MTOTO NI WANGU.........., BADALA YAKE SENTESI ZAKO ZIWE 'DNA IKIONYESHA MTOTO SIO WANGU..........)


[emoji117]Kila siku nawaambia, USITHUBUTU kukiri kosa la uchepukaji Kwa mwanamke .



[emoji117][emoji117][emoji117]SEMA HAMTANIELEWA HATA NIKIANDIKA SANA, IPO HIVI, MWANAMKE AKIWA KWENYE MAUMIVU NA HASIRA, HAKIKISHA ANAENDELEA KUUMIA ZAIDI NA HASIRA ZAKE ZIZIZDI ZAIDIII NA AKIJA RUDI KWENYE FURAHA, HAKIKISHA UNAMFURAHISHA ZAIDIIII ZAIDIIII.





sasa kitendo Cha kumuweka kwenye hali ya kutokua na uhakika, huku miezi ya kusubiri DNA ikisonga mbele, Hasira huanza kumuisha mdogomdogo, angejikuta anaanza kukuamin mdogomdogo, angejikuta anamfukuza mdada wa kazi.


wewe kisirisiri unaenda kumpangisha mdada WAKAZI au kama Kaenda kwao unaendelea kumtumia Pesa za matumizi , huku ukimpigia simu Kwa namba nyingine, ukimwambia tulia ,

baadae ungemtafutia Kamtaji ka biashara ili naye ajikwamue .



MWANAUME NAKINI HAACHI DAMU YAKE!!



NYINYI, SHETANI ALIMSHINDA MWANAMKE KWA SABABU YA UONGO, MWANAMKE HATOKAA AUSHINDE UONGO , SHETAN ALITUMIA MANENO YA UONGO NA SENTESI ZAKE ZILIKUA NI ZA KINYUME NYUME TOFAUTI NA MUNGU ALIVYOSEMA .

"ATIIII MMEAMBIWA MSILE MATUNDA YA MITI YOOOOOOTE YA BUSTANI???? ( HUU NI UONGO AMBAO SHETAN ALITUMIA, ILI KUMFANYA MWANAMKE AANZE KUA NA MASHAKA MASHAKA NA TAFAKAURI NYINGI KICHWAN AMBAZO ZILIISHIA KUMPA SHETAN NAFASI YA USHINDI).
[emoji1][emoji1][emoji1], haya Doctor......Kwenye justification upo vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usichoshe watu wakati unakula housegirl ulitushirikisha? we wa vije? umemkosea sana mkeo yaani ingekuwa mie sikusamehe kabisa udhalilishaji huu umevuka kiwango khaaa
 
[emoji1][emoji1][emoji1], haya Doctor......Kwenye justification upo vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati Huwa Mimi sipokei simu hata za Wifez au nazikatakata ,Kila akipiga nakata, alituma meseji sijibuu, akapiga nakata, akituma meseji sijibuu.

Huwa nafanya Kwa MAKUSUDI KABISA...lkn nachofanya nakijua.


Kuna mchepuko wangu juzi ,nikiwa napiga stpri nao, nikawa nachomekea.... Mwanamke lazima uwe na Thaman, sio unampigia simu bwanakoo weee Kila Mara simu miaa, mameseji mengii weeeeee Kila Mara, .....

Tuma Mara mojaz au piga simu Mara Moja,. Ukiona hapokei Jua yupo bizeee, atakutafuta


Kwann nikichomekea hayo???

Yeye anaweza kukutumia meseji hata 20 Kwa wakati, mpaka unaniuliza, hivi yeye Hana kazi?.


Toka Jana naona MBINU yangu imefanya kazivile nilivyokua nataka 🤣🤣 🤣🤣
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Unaupumbafu mwingi sana
 
Back
Top Bottom