Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,226
- 8,961
Mpaka nimepata mimba means simtaki tenaWewe je! Ukipata ujauzito na jamaa mwingine utamsingizia mmeo, utatoa au utadai talaka muachane?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka nimepata mimba means simtaki tenaWewe je! Ukipata ujauzito na jamaa mwingine utamsingizia mmeo, utatoa au utadai talaka muachane?
Hahaha tushawastukia janja yao ya kuendekeza wivu wakatese watoto wa wenzaoYaani ye kaona ubinafsi wa upande mmoja hajaona ubinafsi wa wao kuja kumchukua mtoto wa mwanamke mwenzake, mwanamke gani atakubali atenganishwe na mwanae na akalelewe na mama wa kambo.
😅 kweli kosa vyote usikose akili!
Mpaka nimepata mimba means simtaki tena
Iko hivi mkuu mimi personally naona mtu yoyote awe mwanamke au mwanaume akianza usaliti tu tayari upendo umekufa, hivyo nikiamua kuanza mahusiano na mtu nje ya ndoa ujue hapohapo naomba talaka, maisha mafupi hakuna haja ya kutesanaKwann? sasa usimuombe talaka kabla haujashika ujauzito kwa jamaa mwingine!!
Wengi sana wakipata ujauzito nje ya ndoa zao wanawabambikizia waume zao wa ndoa ila wanaume ndio hatuna cha kufanya sababu zetu zinakuwa wazi!!
Wababa wengi sana wamelea watoto ambao sio wao kibailogia na hatuna la kufanya mpaka leo wanajua watoto wao lakini wakina mama wanafahamu kabsa huyu na yule sio mtoto wa mme wangu- inauma
Faza hausi ndo chanzo na msababishaji wa yote. LolMfukuzaji wa kwanza atakuwa ni mke aka maza house. Ila lawama zitakwenda kwa faza hausi.
Agana na nyonga[emoji1787]Ukitaka kuruka ...........
Bila shaka wewe ni mwalimu WA Kiswahili
Kiukwel sahv nimejiwekea mikakat sitak tena kuwa na tamaa za kijinga kijinga tena,zimenigharim kias na nimegundua wanawake hawana huruma hata kidogoMwanadamu anayeendeshwa na matamanio yake ni sawa mnyama wa porini na huyo ni mpungufu wa akili........
[emoji1][emoji1][emoji1], haya Doctor......Kwenye justification upo vizuri.Aahh Sasa nisikilize Mimi, Mzoefu.
Kilichomuumiza Mkeo ni wewe kumla mtu anayemjua Tena mnaishi naye Ndani , hiii huwaumiza sana Wanawake .
Kosa lako lapili, umemdhalilisha Mkeo, anajihisi hafai ,Tena Kwa dada wa kazi, yaan chepuka ila usichepuke na mtu wa karibu sana namkeo ,,(rafiki, Ndugu, dada wa kazi)
Kosa lako la kwanza, Kama umekiri kweli mimba ni yako ....
( Ilipaswa ukatae katakata kua sio yako, anakusingizia tuuu, huwez mpa mimba mwanamke kama huyo ,hizo shahawa Bora upigie punyeto, yaan Mke wangu nakuhapia, nakama unabishaa, SUBIRI MTOTO AZALIWE TUKAPIME DNA, NASEMA SUBIRI MTOTO AZALIWE, TUKAPIME DNA,'UMACHOMEKEA UONGO---- UZURI DNA NI MILIONI MOJA KUPIMA, NASEMAJE NITAUZA HATA HII PIKIPIKI YETU YA USAFIRI MKE WANGU, TUPATE HELA, TUPIME DNA, ".. NA MAJIBU YAKITOKA MTOTO SIO WANGU, NAKUAMBIE HIVI HUYO HUYU BEKI TATU ATANIKOMA SANAASANAA, NAWEWE PIAAA NDIO UTAJUA CHA KUFANYA, NA SITOKUSAMEHEE KWA KITENDO CHAKO HIII ) SUBIRI TU DNA ITOKEE, SUBIRI TUUU , YAANI UNANIPELEKA MAHAKAMAN BILA UHAKIKA WA JAMBO, ET KISA MANENO YA MDADA WAKAZI?? MBONA ULIKUA NA AKILI SANA ,ZAMAN ULIKUA MPAKA UNACHUNGUZA, NA USHAHIDI JUU, HIVI HUYU MTOTO AMEKUFANYIA MADAWA?? MBONA SIKU HIZI UMEKUA WAKUKUBALI KILA KITU??? AMEKUFANYIA MADAWA HUYU SIO BUREE !!.
yaan katika kipindi hiki Cha yeye kua nahasira ulitakiwa umfanye aendeke kua na hasira LAKINI ASIWE NA UHAKIKA WA KUA MIMBA NI YAKOOO WEWE , HUKU UKIMLAIMU, UNAENDA MAHAKAMAN KUNIABISHA BILA USHAHIDI, ET KISA MANENO ?? UNGEKUA NA AKILI UNGESEMA ,MUME WANGU NGOJA TUSIBIRI DNA,, MAMBO YA AJABU SANA, USISHANGAE HATA UMESHANITANGAZA KWA NDUGU ZAKO WOTE, JE UKIJA THIBUTISHA KUA MTOTO SIO WANGU?? UTAWAPIGIA SIMU NDUGU ZAKO UWAAMBIE KUA ULINISINGIZIA?? SASA KWAKUA UMENDHALALISHA , MIMI SIWEZI KUKUACHA WEWE NA KUACHA WANANGU WAKATI NAKUPENDA , ILA MAJIBU YA DNA YAKITOKA, YAAAN MTOTO AKIWA SIO WANGU, NDIO SASA NITAAMUA KUKUACHIA MJI HUU NIENDE KUISHI NA HUYO MTOTO HATA KAMA MTOTO SIO WANGU, NITAFANYA IVO ILI KUKUPA FUNDISHO .
au unajifanya [emoji117] kama vipi wee ndio kapange, kama atazaa na DNA ikaonyesha sio wangu , ndio nitakuita urudi . ( EPUKA KUTUMIA MANENO LA HAYA "DNA IKIONYESHA MTOTO NI WANGU.........., BADALA YAKE SENTESI ZAKO ZIWE 'DNA IKIONYESHA MTOTO SIO WANGU..........)
[emoji117]Kila siku nawaambia, USITHUBUTU kukiri kosa la uchepukaji Kwa mwanamke .
[emoji117][emoji117][emoji117]SEMA HAMTANIELEWA HATA NIKIANDIKA SANA, IPO HIVI, MWANAMKE AKIWA KWENYE MAUMIVU NA HASIRA, HAKIKISHA ANAENDELEA KUUMIA ZAIDI NA HASIRA ZAKE ZIZIZDI ZAIDIII NA AKIJA RUDI KWENYE FURAHA, HAKIKISHA UNAMFURAHISHA ZAIDIIII ZAIDIIII.
sasa kitendo Cha kumuweka kwenye hali ya kutokua na uhakika, huku miezi ya kusubiri DNA ikisonga mbele, Hasira huanza kumuisha mdogomdogo, angejikuta anaanza kukuamin mdogomdogo, angejikuta anamfukuza mdada wa kazi.
wewe kisirisiri unaenda kumpangisha mdada WAKAZI au kama Kaenda kwao unaendelea kumtumia Pesa za matumizi , huku ukimpigia simu Kwa namba nyingine, ukimwambia tulia ,
baadae ungemtafutia Kamtaji ka biashara ili naye ajikwamue .
MWANAUME NAKINI HAACHI DAMU YAKE!!
NYINYI, SHETANI ALIMSHINDA MWANAMKE KWA SABABU YA UONGO, MWANAMKE HATOKAA AUSHINDE UONGO , SHETAN ALITUMIA MANENO YA UONGO NA SENTESI ZAKE ZILIKUA NI ZA KINYUME NYUME TOFAUTI NA MUNGU ALIVYOSEMA .
"ATIIII MMEAMBIWA MSILE MATUNDA YA MITI YOOOOOOTE YA BUSTANI???? ( HUU NI UONGO AMBAO SHETAN ALITUMIA, ILI KUMFANYA MWANAMKE AANZE KUA NA MASHAKA MASHAKA NA TAFAKAURI NYINGI KICHWAN AMBAZO ZILIISHIA KUMPA SHETAN NAFASI YA USHINDI).
Hahah Mkuu wangu, yaan akili ya mwanamke ikiwa Unstable muda wote.. yaan Furaha-Huzun , ndio Huwa ponapona ya Ndoa au Mahusiano yako, Kwa sababu inamlazimisha AKUTEGEMEE WEWE KUMUALIA .[emoji1][emoji1][emoji1], haya Doctor......Kwenye justification upo vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kama bado unamtaka unakunywa P2??Mpaka nimepata mimba means simtaki tena
Kuna wakati Huwa Mimi sipokei simu hata za Wifez au nazikatakata ,Kila akipiga nakata, alituma meseji sijibuu, akapiga nakata, akituma meseji sijibuu.[emoji1][emoji1][emoji1], haya Doctor......Kwenye justification upo vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaupumbafu mwingi sanaMimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.
Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.
Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.
Tuna miezi mitatu hataki nimguse.
Nitachomokaje?
Acha kufundisha uovuMpangishie chumba huyo dada mbadilidhie namba ya simu na mkienda mahakamani unakataa macho makavu kuwa hujawahi kulala na huyo binti