Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Naona umehamia kwenye ubinafsi sasa. Hahahaaa.

Sasa ubinafsi na usupa woman unahusiana vipi na mimba we nae. 🀣
 
Wakati unasasambua mbona haukutuomba msaada....maliza mwenyewe
 
Naona umehamia kwenye ubinafsi sasa. Hahahaaa.

Sasa ubinafsi na usupa woman unahusiana vipi na mimba we nae. 🀣
Wewe komaa na watoto wako wewe kama wewe usitake watoto wa mwanamke mwenzio ndio akulele watoto wako.

Ajiri mwanmke mtu mzima aje na kuondoka kama hutaki mumeo kutia mimba housigelo.
 
Kwa hiyo kutokuwafikiria hao watoto wa wenzetu ndo sababu ya Mwanaume kuacha kazi zake na kurudi nyumbani kumla housegirl?
 
Tubu kwa mkeo maisha yaendelee na pia lea watoto wako wote.
 
Dahhh . mkuu uko kwenye mapito ...ila fanya hili litakusaidia ,, kama kweli mimba ni yako shuka chini mbembeleze mkeo then timua housegirl lea hiyo mimba huko huko atakakokuwa ,lea huyo mtoto maisha mengine yanaendeleee tubu mbele ya wadhamini wa ndoa yako na mbele za mungu then badilisha life style mrudie Muumba wako,akuepushe na majaribu mengine kama hayo ...
 
Wewe komaa na watoto wako wewe kama wewe usitake watoto wa mwanamke mwenzio ndio akulele watoto wako.

Ajiri mwanmke mtu mzima aje na kuondoka kama hutaki mumeo kutia mimba housigelo.
Uzuri mi naishi na wadada wa kazi kwa zaidi ya miaka 14 sasa na Mr hajawahi fanya huo upuuzi.

Kikubwa acheni tabia ya kuwadharau hao wasichana wa kazi huku mkiona hawana thamani pia kabla ya kufanya hayo yote mufikirie na watoto sababu leo huyu umempa mimba kesho nani atakulelea watoto.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Siyo uondoke tu na talaka juu na umfidie milioni mia za kuondoa mfadhaiko aliopata.

Ukome
Mhh!!! Sasa milioni Mia mwalimu atoe wapi na ndo wametoka KUJENGA nyumba kwa pamoja na ukute Kila upande umekopa bank!! Wasameheane TU kitanda hakizai haramu maisha mengine yaendelee japo house girl ndo mganga mkuu kwenye hili Jambo lao
 
Hayo ni matokeo ya usaliti wa ndoa yako....Ukome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…