Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Naona umehamia kwenye ubinafsi sasa. Hahahaaa.Ambao hatufanyi sawa ni hii tabia ya kuwa na housigelo. Mnawadhulumu watoto wa watu kwa ubinafsi wenu.
Kwanza hili la housigelo liangaliwe. Housegelo wanapaswa kuwa watu wazima walipwe vizuri. Kama hamna hela hiyo basi kila mtu apambane na watoto wake mwenyewe.
Mnajiita superwoman huku mnawakandamiza watoto wa wenzenu tuu. Weka mwanamke mwenzio akulele watoto na umlipe vizuri. Aaje na aondoke zake ndio tuone huo usuperwoman wako.
Sasa ubinafsi na usupa woman unahusiana vipi na mimba we nae. 🤣