Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Wewe sasa kama mbususu mmefanya mtaji wacha tukajipoze kwenye bei rahisi. Thats just simple economics. Wee mwenyewe umesema hawana hela sasa wafanyaje🤣🤣🤣🤣 sio kila mwanaume anaweza endelea piga nyeto ya mlenda vuguvugu mika nenda rudi.

Pili wazazi wengi hawawajali watoto wao ndio maana wanaishia kuliwa. Wee mtoto wako ukimlea vizuri hawezi kuliwa na mwalimu. Uzembe ni wa wazazi tuu.
Uzembe ni wako kuchagua kuwa na malaya na unajua hauna Hela ya kuhudumia mwanamke Sasa kitoto Cha Miaka 12 kinakuvutia nn kama sio matatizo ya akili.

Hakuna mzazi asiejali mwanae ndo maana wanaofanya hivo wanatumia nguvu ama lah kuwarubuni wawe na uoga wafanye wanvotaka
 
Wale mabingwa wa kuhamasisha wenzao kwamba mdada wa kazi lazima aliwe ngoja waje wakushauri kama nao walifikia hatua kama hii yako.

Japo nimejikuta nachukia tu sababu umeshaharibu maisha ya huyo msichana.
Halafu sasa ukute hako kabinti bado katoto underage masikini. Sijui kataenda wapi.

Dhambi zingine nzito sana!
 
Ooh! Haya mshauri wewe sasa huyo mwanaume mwenzio afanyeje?
Ah mbona hapo rahisi tuu. Kidume anapaswa kuvimba ndani ya nyumba yake. Housigelo anapangiwa sehemu nyingine na anaendelea kumuhudumia simple as that.

Mke anaombwa msamaha. Akishupaza shingo wala asipate shida. Aendelee kula mbususu ya housigelo. Mke abakinna mbususu yake
 
Oa kwanza buraza na uwe na watoto ndo utaona hizi mambo huwa ni rahisi kuandika tu.

Na ndio sababu Me wanaojali na kujitambua huezi kuta hata ana ka ukaribu na mdada nje ya kile kilichomleta.
 
Mnaoona huyo Mwalimu kafanya sawa ni vile hamna familia na hamjui umuhimu wa hao wadada wa kazi

Laiti mngejua msingeongea kirahisi namna hii.
Ambao hatufanyi sawa ni hii tabia ya kuwa na housigelo. Mnawadhulumu watoto wa watu kwa ubinafsi wenu.
Kwanza hili la housigelo liangaliwe. Housegelo wanapaswa kuwa watu wazima walipwe vizuri. Kama hamna hela hiyo basi kila mtu apambane na watoto wake mwenyewe.

Mnajiita superwoman huku mnawakandamiza watoto wa wenzenu tuu. Weka mwanamke mwenzio akulele watoto na umlipe vizuri. Aaje na aondoke zake ndio tuone huo usuperwoman wako.
 
Azinie na mwanamke Hana akili kabisa,afanya Jambo litalomwangamiza nafsi yake',atapata jeraha na kuvunjiwa heshima Wala fedheha take haitafutika! TUBIA UOVU WAKO USAMEHEWE. Mwombe mkeo msamaha kwanza Mana umekosea Sana assume yeye angebeba mimba isiyo yako ungejisikiaje?
Screenshot_20230321_073746_Chrome.jpg
 
Ushaur wa nn pumbav kwan kondom ukuziona Yan mpk leo unadinya peku peku dah aisee
 
Halafu sasa ukute hako kabinti bado katoto underage masikini. Sijui kataenda wapi.

Dhambi zingine nzito sana!
Hii inasikitisha sana Mzee mwenzagu.

Na kiukweli wanaowapa mimba wadada wa kazi na kuweza kuwahudumia ni kumi kwa mmoja wengi wanaishia kuwafukuza na kuwalaumu hao wasichana kuwa uzembe ni wao sababu wakati wanafanya alijua fika kuwa ana familia na mimba hayakuwa malengo yake.
 
Oa kwanza buraza na uwe na watoto ndo utaona hizi mambo huwa ni rahisi kuandika tu.

Na ndio sababu Me wanaojali na kujitambua huezi kuta hata ana ka ukaribu na mdada nje ya kile kilichomleta.
Sijaoa kwa sababu sina uwezo wa kutunza mke na watoto.
Kwangu mie nilishasema mke wangu ataleta mature maid tena wakuja na kuondoka. Sio mtu analeta vitoto alafu anajidaibyeye ni mke. Pumbafu kabisa.
Ukitaka kuwa mama zaa acha kazi lea mtoto mpaka anapofika 2years. Mimi mume kazi yangu ni kukuhudumia wewe. Mambo ya kutesa watoto wa wengine ilikukufurahisha wewe siwezi.
Ndio maana nasema women nyie ni selfish sana u only think about urself. Mbona hamuwafikirii hao watoto wa wanawake wenzenu?
Ila mwanaume akigegeda ndio mnashupaza shingo kuwa wanaume wabaya
 
Back
Top Bottom