Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Na me wanaojitambua wajengewe sanamu lao peponi. Huyo mwalimu ni mshenzi tu, na sio talaka tu Hadi kazi afukuzwe, si ajabu anakula Hadi wanafunzi wake. Watoto wanamsubiri shuleni yeye anarudi nyumbani kumnyatia house girl ilhali ana mke ndani. Amemuharibia dada wa kazi life yake, kwanini baadhi ya me wanasindwa kuwaheshimu Hawa wadada wanaosaodia kazi nyumbani?
Mwee....kwahiyo bora angetomber mwanafunzi au bora housigelo?
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu na narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar,
Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Unafundisha shule gani? Msingi ama sekondari?! Huyo beki 3 yawezekana kabisa analingana kiumri na wanafunzi wako!

Hivi kama mambo yapo hivi kwa wewe ambaye ni mwalimu, mnaoaminika sana na jamii, halafu unakuja kujitambulisha kama mwalimu halafu unatuomba ushauri wa kijinga kiasi hiki?!

Ila poa muombe Mungu msamaha, muombe na mkeo msamaha, ila acha kuidhalilisha taaluma hiyo nyeti sana
 
Mwee....kwahiyo bora angetomber mwanafunzi au bora housigelo?
Nasema mkewe ashikilie hapo hapo. Na aking'ang'ana haki yake anapata. Yeye liondoke likapange vzr huko na huyo mdada wa kazi. Kazi si anayo?. Watajichanga na huyo kijakazi watajenga nyengine. Ila huyo kijakazi sijui kama hatorudishwa kijijini. Aombe huyo baba awe na akili ya kumpangia chumba.
 
Mhh!!! Sasa milioni Mia mwalimu atoe wapi na ndo wametoka KUJENGA nyumba kwa pamoja na ukute Kila upande umekopa bank!! Wasameheane TU kitanda hakizai haramu maisha mengine yaendelee japo house girl ndo mganga mkuu kwenye hili Jambo lao
Atamlipa pension in Advance
 
Ulipozungumzia swala la walimu kutembea na watoto umeona ni jambo zuri ndio nimeshangaa mbona majambazi mtaani yapo kibao ni simu yako tuu...
Tatizo ndalama hela tunayolipwa haitoshi kuwala hao majambazi. Wacha wale kwa urefu wa kamba zao jamani
 
Tamaa mbaya. Ukome. Mkeo ashikilie hapo hapo maana hata akikusamehe akaleta housegirl mwingine utamla tu
Yeah tabia ni kama ngozi. Atarudia tu kuwala Tena na tena hata kwa kuwatishia.
 
Nasema mkewe ashikilie hapo hapo. Na aking'ang'ana haki yake anapata. Yeye liondoke likapange vzr huko na huyo mdada wa kazi. Kazi si anayo?. Watajichanga na huyo kijakazi watajenga nyengine. Ila huyo kijakazi sijui kama hatorudishwa kijijini. Aombe huyo baba awe na akili ya kumpangia chumba.
Usiwe na hofu jamaa atampangia chumba housigelo wataendelea kula tunda la pale kati.
 
Mpangishie chumba huyo dada mbadilidhie namba ya simu na mkienda mahakamani unakataa macho makavu kuwa hujawahi kulala na huyo binti
Kwani hata akikubali kama alimla na kumpa mimba,mahakamani watakubali aachie hiyo nyumba kwa hiyo sababu?
 
Nilikuwa sipendi kukushauri kabisa.Kutokana na mibusara mingi niliyonayo nakushauri:Jikate hicho kibamia chako halafu umuoneshe mkeo na ukane katakata kuwa haukumpa "hauzigero" wenu mimba.Sababu:Hauna kisababishio/kifanyio.Nakusubiri uje kunishukuru.Nipo paleee...navuta kiko yangu yenye tumbaku mbichi.
 
mzabzab hawa wanawake wanafiki sana wao wenyewe wnawatesa sana hawa wafanyakazi wa ndani mpaka huruma aisee sisi tukiwapa de libolo kupunguza mahungu ya mateso ya wake zetu wnamaindi
Bwana wee tena hao roho mbaya balaa wengine hadi wanawakatalia watoto wa watu kukaa kwenye sofa. Ni makatili kweli haya majanamke basi tuu hapa yanajifanya roho nzuri.

Wababa mara nyingi ndio wanakuwa na huruma kuelekea housigelo sasa nduo hivyo housigelo anaona bora baba mtu nimtunuku mbususu kwa uakrimu wake.

Mke full kufoka foka na wengi wanawake ni wavivu. Mke akiwa mchapa kazi hawezi kugombana na housigelo wala housigelo kiliwa na mume
 
Yeah tabia ni kama ngozi. Atarudia tu kuwala Tena na tena hata kwa kuwatishia.
Tatizo lenu wake zetu tukiwaoa mnaanza kuvimba yaani mkishapata tu kile cheti cha ndoa huwa mnabadilika sana hasa kwenye suala la kutupa unyumba ndo mana mwisho wa siku tunakula house gal
 
Pole

Mwambie awaandike majina watoto kwenye hati ya NYUMBA coz mmejenga wote!

Halafu mchukue house girl sepa nae!

We mwambie unaondoka KWA amani akikuhitaji utakua available!!

Hakikisha NYUMBA ina hati ya watoto tu !

Ondoka kaanzet upya Kijana!

Nyundo haichagui misumari ya kugonga labda iache yenyewe!!!

Hatma ya mtua na maisha yake hupangwa na Mungu wala sio KWA uaminifu Kati yenyt wawili!


FUATA NINACHOKUAMBIA ACHA KUIWEKA NYUMBA MOYONI WEKA WATOTO! TU!!
 
Back
Top Bottom