Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 993
- 1,463
Kweli ni ubinafsi wa kiwango cha UN. Wakat hako kaschana kanalala saa 6 za usiku na kuamka saa 11 alfajiri. Sio vibaya. Mpaka kapewe mimba na mumewe ndio imakuwa mbaya.Sijaoa kwa sababu sina uwezo wa kutunza mke na watoto.
Kwangu mie nilishasema mke wangu ataleta mature maid tena wakuja na kuondoka. Sio mtu analeta vitoto alafu anajidaibyeye ni mke. Pumbafu kabisa.
Ukitaka kuwa mama zaa acha kazi lea mtoto mpaka anapofika 2years. Mimi mume kazi yangu ni kukuhudumia wewe. Mambo ya kutesa watoto wa wengine ilikukufurahisha wewe siwezi.
Ndio maana nasema women nyie ni selfish sana u only think about urself. Mbona hamuwafikirii hao watoto wa wanawake wenzenu?
Ila mwanaume akigegeda ndio mnashupaza shingo kuwa wanaume wabaya
Pepo silfish tokaaa kwa jina la Muyesu.