Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Sijaoa kwa sababu sina uwezo wa kutunza mke na watoto.
Kwangu mie nilishasema mke wangu ataleta mature maid tena wakuja na kuondoka. Sio mtu analeta vitoto alafu anajidaibyeye ni mke. Pumbafu kabisa.
Ukitaka kuwa mama zaa acha kazi lea mtoto mpaka anapofika 2years. Mimi mume kazi yangu ni kukuhudumia wewe. Mambo ya kutesa watoto wa wengine ilikukufurahisha wewe siwezi.
Ndio maana nasema women nyie ni selfish sana u only think about urself. Mbona hamuwafikirii hao watoto wa wanawake wenzenu?
Ila mwanaume akigegeda ndio mnashupaza shingo kuwa wanaume wabaya
Kweli ni ubinafsi wa kiwango cha UN. Wakat hako kaschana kanalala saa 6 za usiku na kuamka saa 11 alfajiri. Sio vibaya. Mpaka kapewe mimba na mumewe ndio imakuwa mbaya.

Pepo silfish tokaaa kwa jina la Muyesu.
 
Aiseee jaribu kukaa na wife wako mzungumze coz mna familia najua itakua ngumu kwa sababu na mimba ushampa house girl usingempa mimba huyo house girl
Mtoto WA Kijakazi ameruhusiwa katika bibilia komaa mpe somo mkeo aache hizo
 
Na me wanaojitambua wajengewe sanamu lao peponi. Huyo mwalimu ni mshenzi tu, na sio talaka tu Hadi kazi afukuzwe, si ajabu anakula Hadi wanafunzi wake. Watoto wanamsubiri shuleni yeye anarudi nyumbani kumnyatia house girl ilhali ana mke ndani. Amemuharibia dada wa kazi life yake, kwanini baadhi ya me wanasindwa kuwaheshimu Hawa wadada wanaosaodia kazi nyumbani?⁶
Nawashangaa wanaomtetea. Msaidizi wa ndani anapaswa kuheshimiwa aisee mi mtu akimdharau huwa namshangaa sana.

Hawa wanao ona ni kitu rahisi rahisi hawajui tu vile wakiondoka sisi tunapata shida kiasi gani sababu hata kwenye mihangaiko mtu inashindikana kwenda sababu huna msaidizi.

Kiukweli huyo Mwalimu kayumba aisee.
 
Bwana wee tena hao roho mbaya balaa wengine hadi wanawakatalia watoto wa watu kukaa kwenye sofa. Ni makatili kweli haya majanamke basi tuu hapa yanajifanya roho nzuri.

Wababa mara nyingi ndio wanakuwa na huruma kuelekea housigelo sasa nduo hivyo housigelo anaona bora baba mtu nimtunuku mbususu kwa uakrimu wake.

Mke full kufoka foka na wengi wanawake ni wavivu. Mke akiwa mchapa kazi hawezi kugombana na housigelo wala housigelo kiliwa na mume
Wake zetu yaani mivivu kufanya kazi za nyumbani na mivivu kutoa uroda kwa waume zao.

Mwaka mzima nakula chakula alichopika house gal. Nafuliwa na house gal, mtoto analelewa na house gal. Sasa msaada wa mke ni nini hapo

Yeye na mikucha yake kama jini akirudi jioni simu mkononi jicho kideoni

Mwisho wa siku house gal anakuwa mke wangu indirect pale nyumbani

Na jinsi wababa tulivyo wakarimu na hatuwatesi wala kuwatukana lazima kanitege na mimi nakala vizuri tu
 
Imeshatokea muombe mkeo msamaha akigoma mwambie aende mahakamani mgawane mali wewe ukaanza maisha upya. Mkeo anataka kukunyang'anya nyumba kwa kosa lako sheria haiko hivyo.

Komaa ishi hapohapo na unyumba tafuta dada poa pita nao kipindi hiki cha mpito

Housigelo arudi kwao ila tunza mimba na mtoto atakaezaliwa
 
Waheshimuni wake zenu unalalaje na house girl kwenye nyumba unayo lala na mkeo? nyinyi ndio mnaleta kesi za mauaji shukuru huyo mkeo kaenda mahakamani mwingine angefanya tukio nchi ingetikisika
 
Kweli wewe Mwalimu,Walimu wengi uwezo wenu wa kupambanua mambo ni mdogo sana-sasa hapo unachokiohopa ni nini wife wako kwenda Mahakamani?.

Hapo hamna kesi,kesi labda huyo wife wako aombe taaraka ambapo mtagawana hizo mali zenu.

WanWake bwana eti umuachie nyumba,kirahisi hivyo!.
 
Kha! Mwananchi una maneno sikujua kuwa wee ni mchapa marimba hivi au kisa mmeingia robo basi full shangwe 🤣🤣🤣🤣

Mbususu ya huyo mdanda mbona ipo fresh semajamaa mawazo ya mkewe kutaka yeye ahame kwa nyumba ndio anachowaza kwa sasa ila sula la mbususu atakuwa anakula tuu wee unadhani miezi mitatu wanaume sie tunaweza kaa bila kula mbususu...dhubutu!
Usieweza kukaa hiyo miezi mitatu ni wewe Mzabzab na hao wenzio mnaojiendekeza.

Lakini pia 🤔 kwani ni lazima hiyo haja yako uimalizie kwa mdada wa kazi anayekulelea wanao hamna sehemu nyingine?
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Utamuachiaje nyumba ?...fukuza
 
Imeshatokea muombe mkeo msamaha akigoma mwambie aende mahakamani mgawane mali wewe ukaanza maisha upya. Mkeo anataka kukunyang'anya nyumba kwa kosa lako sheria haiko hivyo.

Komaa ishi hapohapo na unyumba tafuta dada poa pita nao kipindi hiki cha mpito

Housigelo arudi kwao ila tunza mimba na mtoto atakaezaliwa
Wanawake bana eti aachiwe nyumba hata aibu haoni 🤣🤣🤣
 
Usieweza kukaa hiyo miezi mitatu ni wewe Mzabzab na hao wenzio mnaojiendekeza.

Lakini pia 🤔 kwani ni lazima hiyo haja yako uimalizie kwa mdada wa kazi hamna sehemu nyingine?
Mwanaume umeoa hkae mizi mitatu bila kugegeda unue huyo either ni memmber wa chaputa aua ni wale wa upinde wa mvua.

Tukienda sehemu nyingine bado mtalalamika. Ishu ni kucheat au sehemu gani unayocheat? Mbona hamueleweki?
 
Hata kama situation ikoje..
NENDA KAGONGE NJE...
Unaweza sababisha tukayokea kwenye headline za Millard ayo...
Ni jambo la hatari sana kulala na hausg au yoyote kwenye nyumban unayoishi na mkeo..
Angeweza akawafumania akafanya tukio...la hasha ashajua huyo hausg ndo ana mim a hivi unataka kuniambia nini kama sio mkeo ana busara za kiwango Cha lami...
Ingekua ni mwingine angeweza Fanya jambo la ajabu....
Lakini pia nakushauri mpishe hapo hata siku kadhaa huku mnayajenga ataumis uwepo wako japo ushafanya ujinga....ila usiendelee kuvutana nae
Hao watoto watakosa mlezi...
Usiendelee kutengeneza makosa mengine.
 
Wewe ndo unamjua mkeo kuliko yoyote hapa ..usiifikirie hiyo nyumba zaidi ya watoto wenu
 
Usieweza kukaa hiyo miezi mitatu ni wewe Mzabzab na hao wenzio mnaojiendekeza.

Lakini pia 🤔 kwani ni lazima hiyo haja yako uimalizie kwa mdada wa kazi hamna sehemu nyingine?
Huwajui wanaume wewe na kama mume wako anakaa miezi 3 hajakukula na hakusmbui ujue tayari ana kamchepuko 😀
 
Mpangishie huyo House girl na mfungulie biashara ndogo.Na ikiwezekana muoe awe Mke wa pili.
Ila chonde chonde usimtelekeze mtoto wa watu na ukamuaribia future yake.
 
Kweli ni ubinafsi wa kiwango cha UN. Wakat hako kaschana kanalala saa 6 za usiku na kuamka saa 11 alfajiri. Sio vibaya. Mpaka kapewe mimba na mumewe ndio imakuwa mbaya.

Pepo silfish tokaaa kwa jina la Muyesu.
Bora useme wewe akisema mzabzab wanasema nongwa
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
ongea na mke wako
 
Back
Top Bottom