Nina mkasa Kama wako,,, kwanza huwa Sipendi kabisa kuwasiliana na mama wa mtoto kwa sababu anaweza niletea tatizo, mtoto najua ni wangu biologically, lakini in real sense sio wangu kabisa,,,HUYO SIO MTOTO WAKO. WE FANYA KUMSAHAU, LABDA MPAKA BABA MLEZI AFARIKI, AU AFUNGWE MAISHA.
Lakini hata ikitokea hayo yametokea halafu ndio ukajitokeza jamii na ndugu wa mwanaume hawatakuelewa. Hivo we potezea kabisa
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Lakini hata ikitokea hayo yametokea halafu ndio ukajitokeza jamii na ndugu wa mwanaume hawatakuelewa. Hivo we potezea kabisa
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app