Nimempa ujauzito mke wa mtu

Nimempa ujauzito mke wa mtu

Nina mkasa Kama wako,,, kwanza huwa Sipendi kabisa kuwasiliana na mama wa mtoto kwa sababu anaweza niletea tatizo, mtoto najua ni wangu biologically, lakini in real sense sio wangu kabisa,,,HUYO SIO MTOTO WAKO. WE FANYA KUMSAHAU, LABDA MPAKA BABA MLEZI AFARIKI, AU AFUNGWE MAISHA.
Lakini hata ikitokea hayo yametokea halafu ndio ukajitokeza jamii na ndugu wa mwanaume hawatakuelewa. Hivo we potezea kabisa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu kwema?

Mwenzenu nina kisanga hapa, kuna mwanamke ni ex wangu, ila yeye aliolewa na wenye pesa kwa sherehe kubwa baada ya kuona mimi sieleweki na sina mpango wa kuwa mtumwa wa ndoa, jamaa yake saiv amekuwa mlevi na kiaina ni kama ameikacha familia, so mkewe baada ya kuona jamaa kasahau majukumu yake ya kindoa, ndio akaamua kunicheki, sababu alikuwa mtu wangu na amenona,nikamualika kwangu.

Hee si ikaonekana tunakumbushia ya zamani, mwanamke akanogewa akawa anakuja mara nyingi,Vsi nimeishia kumjaza tumbo, sasa anahaha kuitoa mi nimemwambia azae tu sishiriki dhambi ya uuaji, hata kama dhambi zote ni sawa, ila bora nibakie na ya uzinzi kuliko uuaji.

So swali langu ni kwa malaya wenzangu vipi ilikuwaje kwa aliyewahi kukutana na mkasa wa aina hii? Na aliumalizaje, maana wiki ya 3 sasa nimenuniwa na sielewi nini kinaendelea huko upande wa pili.
Na mimi yamenikuta ila nimempa pesa akafanye mchakato but nimemmind kinoma..

Mtu anasanuka hovyo wakati ni mke wa mtu hata hajui kuwa yuko kwenye siku za hatari.
 
Hivi kweli MTU na akili zako Wanawake wamejaza kila kona unaendaje kutembea na Mke wa MTU,kwa kweli mie nimeapa siku nikigundua kuna MTU anatembea na Mke wangu-lazima atangulie kwa Mungu baba kabla yangu.
 
Wakuu kwema?

Mwenzenu nina kisanga hapa, kuna mwanamke ni ex wangu, ila yeye aliolewa na wenye pesa kwa sherehe kubwa baada ya kuona mimi sieleweki na sina mpango wa kuwa mtumwa wa ndoa, jamaa yake saiv amekuwa mlevi na kiaina ni kama ameikacha familia, so mkewe baada ya kuona jamaa kasahau majukumu yake ya kindoa, ndio akaamua kunicheki, sababu alikuwa mtu wangu na amenona,nikamualika kwangu.

Hee si ikaonekana tunakumbushia ya zamani, mwanamke akanogewa akawa anakuja mara nyingi,Vsi nimeishia kumjaza tumbo, sasa anahaha kuitoa mi nimemwambia azae tu sishiriki dhambi ya uuaji, hata kama dhambi zote ni sawa, ila bora nibakie na ya uzinzi kuliko uuaji.

So swali langu ni kwa malaya wenzangu vipi ilikuwaje kwa aliyewahi kukutana na mkasa wa aina hii? Na aliumalizaje, maana wiki ya 3 sasa nimenuniwa na sielewi nini kinaendelea huko upande wa pili.
Kitanda hakizai haram
 
Tulia uje ukatwe chechele bila ganzi
 
Kuna kabila Moja Wana mila Yao,
kwamba ukimzalisha MKE asiye wa kwako jua ndo umetoa sadaka ya mbegu TU kwenye familia yao.

Mtoto akizaliwa Ni mali ya baba mwenye MKE na ukoo wao tu, haijalishi hata Kama Yuko jela au kafariki. Bado mtoto Ni Mali ya ukoo

Sasa Ukileta ujuaji unatangulizwa ahera mapema Sana ili usije vuruga amani na utulivu wa ukoo wao.

Ukizingatia tayar unakosa mkononi la kutembea na mtu, kwahyo wengi huamua kukaa na Siri iyo kifuani.

Kwaiyo mtoa mada,
You better watch your move into this.

TUSIJE KUKUSAHAU MAPEMA[emoji4]
Malaya amechangia sawa na wito wa malaya mwenzake sio?[emoji1787]
 
CHILLAX ndugu yangu....tulia tuliiii

Maana unaweza kuta hata wewe SIO MTOTO WA HUYO UNAYEZANI NI BABA YAKO.....

tena hata wengine humu nao watulie waache kukusakama...hawana uhakika na baba zao maana siri wamezibeba mama zao..sio wao..

We omba toba tu muachie mdada alee zake
 
Fumua mbunye hiyo, hakikisha kama ako na mshono unaufumua japo kidogo
Unamshauri vibaya. Mtu kutembea na boss wake ni kuharibu kazi yake.
Maboss wa kibongo hawajui kutenganisha kazi na mapenzi.
Siku jamaa akifumaniwa anatoka na mfanyakazi au vinginevyo ajue kazi hana.
 
Wakuu kwema?

Mwenzenu nina kisanga hapa, kuna mwanamke ni ex wangu, ila yeye aliolewa na wenye pesa kwa sherehe kubwa baada ya kuona mimi sieleweki na sina mpango wa kuwa mtumwa wa ndoa, jamaa yake saiv amekuwa mlevi na kiaina ni kama ameikacha familia, so mkewe baada ya kuona jamaa kasahau majukumu yake ya kindoa, ndio akaamua kunicheki, sababu alikuwa mtu wangu na amenona,nikamualika kwangu.

Hee si ikaonekana tunakumbushia ya zamani, mwanamke akanogewa akawa anakuja mara nyingi,Vsi nimeishia kumjaza tumbo, sasa anahaha kuitoa mi nimemwambia azae tu sishiriki dhambi ya uuaji, hata kama dhambi zote ni sawa, ila bora nibakie na ya uzinzi kuliko uuaji.

So swali langu ni kwa malaya wenzangu vipi ilikuwaje kwa aliyewahi kukutana na mkasa wa aina hii? Na aliumalizaje, maana wiki ya 3 sasa nimenuniwa na sielewi nini kinaendelea huko upande wa pili.
Endapo haufananifanani na mumewe ni lazima aitoe tu...!
 
Back
Top Bottom