Nimempa ujauzito msichana nisiye na malengo naye

Mkuu usikatae mtoto. Lea hiyo mimba mengine utajua huko mbeleni.

Narudia kama unauhakika ni yako usikatae mimba. Lea hiyo mimba mengine utajua huko mbele.
 
Yaani hatua zote ulizopitia mpaka kumwagia ndani , mbona nimalengo mengi sana umeyatimiza ?..
 
wakati unaminya mpododo ili wese litoke limechujwa clearly uliona burudan,,af kesho unakuja kutunanga single maza,😄😄😄
Ila una kiuno cha kuendeshea Baiskeli, SIO mchezo
 
Hebu kuwa muungwana usiharibu maisha ya watu halafu baadae uje kuponda ma single mothers,
Yaliyotokea yameshatokea chukua majukumu kama mwanaume pambana kwani kusoma ndio nn,

Tatizo uvulana bado unakusumbua unataka vilivyogharamiwa ,kujituma huwez
 
kisirani cha mimba changa tuh icho we piga kimya atakuja mwenyewe
 

Huyu mtu, nimesha Anza kumshtukia sasa, au nyie mnaonaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…