Nimempa ujauzito msichana nisiye na malengo naye

Nimempa ujauzito msichana nisiye na malengo naye

Nipe ushauri mdau
Daaa yaani mkuu labda plan zako zilikuwa kuja kuwa na mtt ukijipata lkn maishà ss yalivyo yakingese yamekupa mtt kabla hata ndoto haijatimia ,,shukuru Kwa yt km una uwakikaa n damu Yako angaliaa jinsi yakuipambania kuliko kuipotezaa ,mwanaume akimbii matatizoo Huwa tunakabiliana nayo mpk yatuuwee .
 
View attachment 2996940Mwezi Mmoja umepita baada ya kumtumia, lakini yeye pia alichangia ni msichana anae onesha kunipenda sana. katengeneza mazingira Hadi nikaingia mkenge wa kuzini nae marakadhaa.

Ndio kwanza namaliza chuo sifaham majukumu ni nini. Hili swala linanipa mawazo Hadi nashindwa ku focus na masomo. Wadau naombeni ushauri, Nimeteleza najutia sana
😂😂😂Ila wasichana Wana mbwinu za kigaratia haswaaa
 
View attachment 2996940Mwezi Mmoja umepita baada ya kumtumia, lakini yeye pia alichangia ni msichana anae onesha kunipenda sana. katengeneza mazingira Hadi nikaingia mkenge wa kuzini nae marakadhaa.

Ndio kwanza namaliza chuo sifaham majukumu ni nini. Hili swala linanipa mawazo Hadi nashindwa ku focus na masomo. Wadau naombeni ushauri, Nimeteleza najutia sana
Wewe una malengo na nani?
 
Daa mwanangu uliposema mwezi mmoja uliopitaa bac umenikumbushaa nilikuwa shambaa uko nafanya palizi ,kumbe mwenzangu ww ulikuwa unaacha masomo na kwenda kumwagia ndanii😂😂😂 ,,VP huyo manzi naye n student km ww au n hawa wa mtaani tuu .km wamtaani hapo angaliaa vzr utapigwa za kichwa mimba yaweza Kuta n ya boda boda akaamua kukupa ww mwanachuo.

Daa mwanangu uliposema mwezi mmoja uliopitaa bac umenikumbushaa nilikuwa shambaa uko nafanya palizi ,kumbe mwenzangu ww ulikuwa unaacha masomo na kwenda kumwagia ndanii😂😂😂 ,,VP huyo manzi naye n student km ww au n hawa wa mtaani tuu .km wamtaani hapo angaliaa vzr utapigwa za kichwa mimba yaweza Kuta n ya boda boda akaamua kukupa ww mwanachuo..
Kamaliza chuo mwaka Jana kasoma miaka 3, Mimi nasoma mi 4
 
Mkuu najua hamtaniamini hapa demu aliniekea mitego mingi ya kumdinya, Hadi ikawa ni mchezo, na anafaham kwamba nilikua simkubali.
Acha kutafuta visingizio dogo. Alikuwekea mitego kwani alikushikisha kwa nguvu na kujisokomeza nayo? Ulikuwa unategemea nini wakati unapiga mabao tena kavukavu?
 
Ole wako utelekeze mtoto! Taabu na Shida atakazopata zikuletee taabu na shida ko kote uendako! Iambatane na kutofanikiwa kwako kwa lo lote lile.
 
Acha kutafuta visingizio dogo. Alikuwekea mitego kwani alikushikisha kwa nguvu na kujisokomeza nayo? Ulikuwa unategemea nini wakati unapiga mabao tena kavukavu?

Nisikilize mimi. Kama ukijiridhisha kuwa hiyo mimba ni yako basi usiikatae wala kukwepa majukumu. Kuwa baba ni jukumu takatifu mno na hakuna laana na dhambi yenye lawama na matokeo mabaya kwako na vizazi vyako kama ya kukwepa majukumu matakatifu ya uzazi. Kama utamwingiza kwenye usingo maza huyu binti basi hata wewe usije ukaja kushangaa mabinti zako wote huko mbele ya safari nao wanaishia kuwa masingo maza. Apandacho mtu ndicho atakachovuna. Karma!

Na mara nyingi watoto hawa wa ujanani huwa wanageuka na kuwa mibaraka sana kwa wazazi wao haijalishi wamezaliwa katika mazingira ya aina gani. Ukimtelekeza huyu mtoto kitakachofuata ni majuto tu huko mbele ya safari.

Najua ni hali ngumu unapitia na pengine you are scared lakini huo ndiyo uanaume sasa; na dunia ndiyo hivyo inakukaribisha katika mapambano na mazonge yake. Nyanyuka na uonyeshe uanaume wako kwa kuitikia wito wa matokeo ya matendo yako. Na kuanzia sasa tambua kwamba kuna consequences kwa karibu kila tendo unalolifanya hapa duniani; na ili kuepuka majuto huko mbele ya safari fanya upembuzi yakinifu wa faida na hasara utakazozipata hasa kwa matendo mazito kama haya. Na kamwe usile mbususu pekupeku tena kama hauko tayari kuitwa baba...

Sasa umekua!

You are now a man! 👏👏👏👏
Shukrani Kwa ushauri wako, nasubiri kujihakikishia
 
View attachment 2996940Mwezi Mmoja umepita baada ya kumtumia, lakini yeye pia alichangia ni msichana anae onesha kunipenda sana. katengeneza mazingira Hadi nikaingia mkenge wa kuzini nae marakadhaa.

Ndio kwanza namaliza chuo sifaham majukumu ni nini. Hili swala linanipa mawazo Hadi nashindwa ku focus na masomo. Wadau naombeni ushauri, Nimeteleza najutia sana
Fanya vyote ila usikimbie mtoto
 
Ukiwa chuo kikuu wewe ni mtu mzima,

Unapopata taarifa kuwa mpenzi wako ni mjamzito jambo la kwanza unatakiwa kurelax kisha unamuita na kumpima huo ujauzito ili uhakikishe.

Baada ya hapo unaangalia kama hakuna viashiria vya yy kuwa na mahisiano ya pembeni

Kama hana unatakiwa kulea hiyo mimba kivyovyote vile maana unaweza jiona hunashida na mtoto baadae mambo yakaja kukuendea kombo hukobeleni wakati huo unapesa na kila kitu

Wewe lea mimba na hakikisja unamuweka karibu huyo binti maana kwa mwandiko wake ni mtu anayejitambua.

Ukiweza muoe. Nakuhakikishia utajifunza mengi na akili yako itakomaa.

Wanaume huwa hatukatai mimba mkuu wanaume kupambana.
 
Back
Top Bottom