Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale X anapomfahamu X wake,Hawezi hana roho ngumu kiasi icho alafu mimi huwa sipigi picha nikiwa kitandani
Nani huwa anapanga?Kifo chake ndo kilipangwa ivo hakuna wa kumuhukumu hapou
Jiandae risasi 7 zitakuhusuTarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zngu. Kabla ya kukutana na uyu mwanaume wa ndoto zngu apo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa.
Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi ambae aliniapiza sitokuja kumpata [emoji23]
Ijumaa iliopita nimempelekea kadi. Natamani kuiona sura yake wakati anasoma kadi. He's a looser, he's alone and he'll die alone [emoji2356] viapo vyote vimemrudia mwenyewe [emoji854]
Huyu apewe miaka 3 kabla hajaja kuomba ushauri!Unaolewa kumkomoa x sio eeeh;!!
Bado una mpenda x wako. Too bad.Tarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zngu. Kabla ya kukutana na uyu mwanaume wa ndoto zngu apo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa.
Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi ambae aliniapiza sitokuja kumpata [emoji23]
Ijumaa iliopita nimempelekea kadi. Natamani kuiona sura yake wakati anasoma kadi. He's a looser, he's alone and he'll die alone [emoji2356] viapo vyote vimemrudia mwenyewe [emoji854]
The last statement proves totally how foolish you are. Natanguliza pole zangu kwa huyo unayesema ndio chaguo la moyo wako maana it seems like you are with him for the purpose of hurting your Ex and not true love. Time will tellTarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zngu. Kabla ya kukutana na uyu mwanaume wa ndoto zngu apo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa.
Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi ambae aliniapiza sitokuja kumpata 😂
Ijumaa iliopita nimempelekea kadi. Natamani kuiona sura yake wakati anasoma kadi. He's a looser, he's alone and he'll die alone 🤦♀️ viapo vyote vimemrudia mwenyewe 🙃
Hii comment iwekewe lamination tafadhaliHuyu apewe miaka 3 kabla hajaja kuomba ushauri!
Tarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zngu. Kabla ya kukutana na uyu mwanaume wa ndoto zngu apo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa.
Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi ambae aliniapiza sitokuja kumpata [emoji23]
Ijumaa iliopita nimempelekea kadi. Natamani kuiona sura yake wakati anasoma kadi. He's a looser, he's alone and he'll die alone [emoji2356] viapo vyote vimemrudia mwenyewe [emoji854]
He will die alone!! Hakuna ku die alone, safari hi ni mwendo wa ku die together hadi kieleweke!!![emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]He’ll die alone???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah nyie acheni vita jaman maisha bado yanatakiwa kusonga
Au box la condomsUsijiamini hivyo anaweza kukiletea zawadi picha zenu za zamani mkila tunda akakuharibia kila kitu
Usiongozwe na mihemko shogaangu. Huwezi kusema HE'LL DIE ALONE maana wewe sio Mungu. Kama wewe umempata chaguo lako, aliyekupa wewe atampa na yeye pia.Tarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zngu. Kabla ya kukutana na uyu mwanaume wa ndoto zngu apo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa.