Tarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zangu. Kabla ya kukutana na huyu mwanaume wa ndoto zangu hapo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa.
Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi ambae aliniapiza sitokuja kumpata [emoji23]
Ijumaa iliopita nimempelekea kadi. Natamani kuiona sura yake wakati anasoma kadi. He's a loser, he's alone and he'll die alone [emoji2356]viapo vyote vimemrudia mwenyewe.
Juz mchepuko wangu ambaye Ni mke wa mtu alipigwa na bwana ake usku kisa msg za ex wake kuingia wakiwa wamelala amani ilitoweka San ktk nyumba ile vurugu mpk sas HV na ndoa inachechemeaa sas were endelea kumdharau ex wako
Exes wangu walipoolewa niliwachangia kiroho safi tu. Na katika exes wangu wanne ni mmoja tu hajaolewa. Lakini wote walioolewa niliwachangia kiroho safi na zawadi niliwapa.
Mleta mada aache nongwa, ya kale hayanuki.
Tarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zangu. Kabla ya kukutana na huyu mwanaume wa ndoto zangu hapo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa.
Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi ambae aliniapiza sitokuja kumpata [emoji23]
Ijumaa iliopita nimempelekea kadi. Natamani kuiona sura yake wakati anasoma kadi. He's a loser, he's alone and he'll die alone [emoji2356]viapo vyote vimemrudia mwenyewe.
Wewe hujaweza ku-move on! Mtu aliyeacha hamfikirii ex wake maana kama umeacha you don't care uliyemuacha ana-prosper au kadoda. Ukiona bado unataka kujua na hasa kwa kumuombea mabaya x wako juu bado unampenda na hili ndo linakwenda kupelekea mahusiano yako ya sasa kuharibika. Hii ni kwasababu utakuwa umeolewa lakini unatumia muda mwingi kutaka kujua kama X wako kadoda bado. mwishowe utakuwa na kisirani na ni rahisi mme wako wa sasa akakuchoka haraka. Sisi tunasubiri mrejesgho maana hujafunga ndoa lakini tayari unasema mume wa ndoto zako! Ingia kwanza ndo urudi na kauli hiyo, hapo tutakuelewa.
The last statement proves totally how foolish you are. Natanguliza pole zangu kwa huyo unayesema ndio chaguo la moyo wako maana it seems like you are with him for the purpose of hurting your Ex and not true love. Time will tell
Tarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zangu. Kabla ya kukutana na huyu mwanaume wa ndoto zangu hapo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa.
Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi ambae aliniapiza sitokuja kumpata 😂
Ijumaa iliopita nimempelekea kadi. Natamani kuiona sura yake wakati anasoma kadi. He's a loser, he's alone and he'll die alone 🤦♀️viapo vyote vimemrudia mwenyewe.
Wa ndoto zako ni huyo uliyempelekea kadi, trust me. Kinachokufanya ujipe moyo ni maneno ya kibri aliyokutamkia but siku akijua silaha muhimu ya kukuvuruga ni yeye kurudi kwako na maneno ya ki gentleman basi itakuwa imekwisha habari yako. Omba Mungu aendelee hivyo hivyo kuwa loser na kukuongelea shits ambazo kwako ndiyo faraja ya kusonga mbele.
Hivi ndivyo wanawake huachwa na wanaume waliowapenda na ambao penzi lao lilikua moto moto.
Mumeo akijua kua ex wako alihudguria harusi yenu basi jua ndoa yako haina muda mrefu. Na si ajabu anamfaham vizuri ila wewe kwa ujeuri umempa kadi aje kabisa.
Kama ulimove on yanini hadi kumkumbuka!?? Hapo tunaamini bado unampenda, na akija kukulia hilo tunda atalila iwe kimasikhara ama kimkakati.
Tarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zangu. Kabla ya kukutana na huyu mwanaume wa ndoto zangu hapo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa.
Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi ambae aliniapiza sitokuja kumpata 😂
Ijumaa iliopita nimempelekea kadi. Natamani kuiona sura yake wakati anasoma kadi. He's a loser, he's alone and he'll die alone 🤦♀️viapo vyote vimemrudia mwenyewe.
Bado unautoto mwingi nakuapia, Ndoa sio tu kuvaa shera na kupewa cheti feki ambacho haujakifanyia mtihani, wala Ndoa sio kupigiwa vigelegele,
Toka kwenye huo usingizi tena usijaribu kupereka hiyo kadi niamini mimi utakuja kunishukuru baadaye maana wanaume sote mama yetu ni mmoja
Tarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zangu. Kabla ya kukutana na huyu mwanaume wa ndoto zangu hapo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa.
Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi ambae aliniapiza sitokuja kumpata [emoji23]
Ijumaa iliopita nimempelekea kadi. Natamani kuiona sura yake wakati anasoma kadi. He's a loser, he's alone and he'll die alone [emoji2356]viapo vyote vimemrudia mwenyewe.
Nyie mlioko kwenye ndoa miaka kwa miaka mnawezaje kuishi pamoja? Mimi naona kama kazi sana kuishi pamoja kushare kitanda na mtu kila siku. Ukitoka asubuhi unamuona ukirudi nyumbani upo nae weekend upo nae siku nzima. Hivi hamchoki kweli? Kuna muda mtu unakuwa unataka ukae pekee yako bila...
Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume kama mimi maisha yako yote" 🤦♀️ Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi. Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha...
Sipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye. Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya...
Hata siku wazazi wangu wakiamua kurudi Tanzania mimi siwez kurudi. Sirudi kamwe hata kutokee nini sirudi kuja kueka makaz yngu Tanzania. Siwez kunufaisha watu wavivu, wajinga wasiofanya kazi km inavotakiwa ila kla mwisho wa mwezi kwa kutumia kodi yng wanavimbisha matumbo na familia zao kila...
Ukitaka kujua mwanaume mwenye pesa angalia mavazi yke. Wanaume wengi wenye pesa huwa hawapendi kuvaa nguo nyingi huwa wanavaa simple na wengi wao wanapendelea sportswear. Sio sportswear za mitumba au fake namanisha zile original kama Nike, Adidas, Reebok, puma, fila, champion, kappa, asics...
Mimi nashangaa tu ndio mnaita mapenzi ya kweli? Mimi naona kutumika vibaya tu. Mtu unaishi vipi na mwanamme hana maendeleo, hata mipango yake kuhusu maisha hovyo kila anachofanya kina fail. Kuna watu wana huruma kweli ningekuwa mimi nimeshamwachia mbali. Dada wa watu anazidi kukonda tu kwa...
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation. Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi. Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda...
Vitu ambavyo siwezi kuja kuvifanya hata nipende vipi. Vitu hivi vikitokea bora kla mtu aende upande wke tu na wala sitojiuliza mara mbili ni kuachana tu. 1. Kua against na familia yngu. Hta nipende vp km hakuna maelewano mazur kati ya familia yngu na mwanaume ninaempenda halafu tatzo...
www.jamiiforums.com
Nimeachana na mchumba wangu sababu ya kauli kama hii. Nlikuwa namsomesha university ili akimaliza tuoane
Mimi naona ni kitu cha kawaida. Mtu kama ameolewa ni sawa na kama hukuolewa ni sawa na haina haja kupanic ati umri unaenda huolewi. Ndoa ni kama vitu vingine tu chukulia mfano umasikini na utajiri. Si watu wote ni matajiri na si watu wote ni masikini. Na ndoa ndio ipo ivo si kla mtu atakuwa...
Yani mimi baadae nikija kuwa na familia yangu na watoto baadae nikaachana na baba yao basi uyo baba akae na ajue hatakuja kuwaona watoto tena katika maisha yake ata akiwaona atakua anawaona tu lakini hatowasogelea kwa hofu nitawambia watoto maneno mabaya kuhusu baba yao hata wasitamani kumuona...
Mwalimu wangu wa kemia anitaka kimapenzi ameniambia atanioa kama nakikubali. Nimemkatalia alitaka kunibaka ofisini. nikakimbia. Naogopa kumwambia mama mkali sana sina urafiki nae kabisa. Mwalimu amenisingizia kosa nimepewa barua nimwite mzazi, mpaka sasa sijampa mama najua nikimpa akienda...
www.jamiiforums.com
Nimemaliza na hii.
Mdogo wangu nimejifunza mambo mengi sana kukuhusu. For sure unatabia kama za mchumba wangu ambaye napanga kuachana naye sababu nimejitahidi kumbadilisha naona kama baadae atanitesa coz tuna tofauti kubwa sana kiumri.
Kifupi tu wewe hauwezi kukaa kwenye ndoa hivo bora ungezaa tu watoto wako ukalea mwenyewe.
Wewe ni mwanamke ( huwa sipendi kuota mwanamke malaya) ila una tabia sio nzuri kwenye relation, hauheshimu mtu, wewe ni easy going yaan unadate na mtu yeyote ili mradi tu anapesa.
Bado unayo nafasi ya kujirekebisha

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.