Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Mingi hiyo...!!! Miezi tu atarudi hapaHuyu apewe miaka 3 kabla hajaja kuomba ushauri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mingi hiyo...!!! Miezi tu atarudi hapaHuyu apewe miaka 3 kabla hajaja kuomba ushauri!
Na huyo unayemuita 'a man of ur dream' ndiye yule ambaye ulikuwa umempost WhatsApp status wiki ilopita!?Tarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zangu. Kabla ya kukutana na huyu mwanaume wa ndoto zangu hapo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa.
Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi ambae aliniapiza sitokuja kumpata 😂
Ijumaa iliopita nimempelekea kadi. Natamani kuiona sura yake wakati anasoma kadi. He's a looser, he's alone and he'll die alone 🤦♀️viapo vyote vimemrudia mwenyewe.
View attachment 2251875Naomba nikuulize kidogo, huyu EX ndiye yule ambaye umezaa naye mtoto?
Sasa Hilo litazuiaje yeye kupiga?!Hawezi hana roho ngumu kiasi icho alafu mimi huwa sipigi picha nikiwa kitandani
Usiseme hivyo mm nina za x wangu bila yy kujua ,nilitega ka kamera tu na hajuagi kama nnazoHawezi hana roho ngumu kiasi icho alafu mimi huwa sipigi picha nikiwa kitandani
Kaa ukijidanganya hivyo hivyo, mwanaume hatishwi, wanaume ni wachache kuliko ninyi, na unayemsema ndiyo wa ndoto zako anaweza kukumwaga any time, unamuita haijielewi halafu unampelekea kadi? Wewe ni lijingaTarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zangu. Kabla ya kukutana na huyu mwanaume wa ndoto zangu hapo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa.
Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi ambae aliniapiza sitokuja kumpata [emoji23]
Ijumaa iliopita nimempelekea kadi. Natamani kuiona sura yake wakati anasoma kadi. He's a looser, he's alone and he'll die alone [emoji2356]viapo vyote vimemrudia mwenyewe.
View attachment 2251875
Picha kutoka Maktaba
Unachosema ni kweli, hayo yapo kwangu mtu I love u haziishi. Na ameanzisha mwenyewe. Mwaka mmoja wa ndoa nakutana nae kwao amekonda matako yameisha.Weka Akiba ya maneno, Kuna siku utamkumbuka ukiwa ndani ya Ndoa...Hapo ndio utajua hujui. Kwa Taarifa yako ma_ Ex wote tuliofunga ndoa tunawasiliana.
Mamndenyi kweli nimekubali wwe unawajua vizuri sana Wanaume tabia zao za ndani!!!Wanapiga siyo lazima wakuambie kuwa nakupiga picha,
Ebu nitumie hizo za x inbox nione huyo x wako isije kua ndiyo wife wangu sasa!?Usiseme hvyo mm nina za x wangu bila yy kujua ,nilitega ka kamera tu na hajuagi kama nnazo
Tarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zangu. Kabla ya kukutana na huyu mwanaume wa ndoto zangu hapo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa.
Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi ambae aliniapiza sitokuja kumpata 😂
Ijumaa iliopita nimempelekea kadi. Natamani kuiona sura yake wakati anasoma kadi. He's a loser, he's alone and he'll die alone 🤦♀️viapo vyote vimemrudia mwenyewe.
View attachment 2251875
Picha kutoka Maktaba
loser maana yake hajakuoa yeye. Kuendelea kumtafuta unatuaminishaTarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zangu. Kabla ya kukutana na huyu mwanaume wa ndoto zangu hapo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa.
Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi ambae aliniapiza sitokuja kumpata 😂
Ijumaa iliopita nimempelekea kadi. Natamani kuiona sura yake wakati anasoma kadi. He's a loser, he's alone and he'll die alone 🤦♀️viapo vyote vimemrudia mwenyewe.
View attachment 2251875
Picha kutoka Maktaba
Waswahili wengi hata wale ambao jamii inaamini wao ni wa wasomi hutumia neno looser kumaanisha loser,Unaelewa maana na tofauti ya maneno LOOSER na LOSER? Kasome maana zake kwenye dictionary tafadhali kwa faida yako siku nyingine!