Nimempelekea kadi ya mwaliko ya harusi X wangu

Nimempelekea kadi ya mwaliko ya harusi X wangu

Yaliisha zamani
Yanhekua yaliisha zamani usingeleta huu uzi. Bado unampenda. Na hata moyo wako unajua hivyo. Kama kweli kuna mpango wa ndoa(maana kuna uwezekano unatudanganya tu) basi Nampa pole huyo muoaji maana jinsi unavyo mpenda huyo x wako atasoma namba kwenye hiyo ndoa.
 
Usiongozwe na mihemko shogaangu. Huwezi kusema HE'LL DIE ALONE maana wewe sio Mungu. Kama wewe umempata chaguo lako, aliyekupa wewe atampa na yeye pia.

Shukuru umepata ukipendacho, ya kwake nayo mwachie mwenyewe! Ova
Huyo kafurahia kuolewa tu,na wala mapenzi hana, mapenzi bado yako kwa x wake, ndiyo maana kila Jambo lake anataka x wake ajuwe,hata akitiwa Mimba na hawara atataka x wake ajuwe!!!!
 
Wewe bado haujamsahau. Kwa kifupi bado anakuuma sana kukuacha. Ndo ilivyo lakini, ukiachwa lazima uumie. Ungekaa kimya ndo igemuuma zaidi.

Tarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zngu. Kabla ya kukutana na uyu mwanaume wa ndoto zngu apo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa.

Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi ambae aliniapiza sitokuja kumpata 😂

Ijumaa iliopita nimempelekea kadi. Natamani kuiona sura yake wakati anasoma kadi. He's a looser, he's alone and he'll die alone 🤦‍♀️ viapo vyote vimemrudia mwenyewe 🙃
 
Tarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zngu. Kabla ya kukutana na uyu mwanaume wa ndoto zngu apo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa.

Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi ambae aliniapiza sitokuja kumpata [emoji23]

Ijumaa iliopita nimempelekea kadi. Natamani kuiona sura yake wakati anasoma kadi. He's a looser, he's alone and he'll die alone [emoji2356] viapo vyote vimemrudia mwenyewe [emoji854]

You are the looser in this case otherwise you would not bother to prove any point.
 
Kwa bandiko hili inaonekana kabisa kua wewe ndio unayeumia zaidi kwa kumkosa huyo X wako,kitendo cha kutaka kumuonyesha kua unaolewa kinathibitisha kabisa kua unaumia na ndio maana unajifariji kwa kuona kua unamkomesha,
Ungekua huumii wala usinge hangaika nae,ungeendelea tu na maisha yako.

Anyway ukisha ingia kwenye ndoa ndio utajua hujui.
 
Kelsea hawa ndio wanawake niliokuwa nakwambia kuwa wanaolewa kama fashion kutoa gundu ila sio kuwa mke.

Hapa kweli kwa nini kidume usimmiminie risasi
 
Usijiamini hivyo anaweza kukiletea zawadi picha zenu za zamani mkila tunda akakuharibia kila kitu
Natamani huyu x wake aione hii comment na aifanyie kazi. Amletee picha yuko orgasm naye ili upigwe talaka siku hiyo hiyo ya arusi hadharani!! Wanawake tutapata lini akili na kuepuka mihemko??
 
Ndo maana ma Legend wengi huwa ni wanaume. Wengi tuna mioyo ya chuma 💪
huwa nakutana na baadhi ya mengi but I prefer to keep cool.
 
Tarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zangu. Kabla ya kukutana na huyu mwanaume wa ndoto zangu hapo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa.

Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi ambae aliniapiza sitokuja kumpata 😂

Ijumaa iliopita nimempelekea kadi. Natamani kuiona sura yake wakati anasoma kadi. He's a looser, he's alone and he'll die alone 🤦‍♀️viapo vyote vimemrudia mwenyewe.

View attachment 2251875
Picha kutoka Maktaba​
Huko ndoani uendako, yakikukuta magumu umtaarifu pia...!!
 
Back
Top Bottom