Nimempelekea kadi ya mwaliko ya harusi X wangu

Hiv kuna watu bado wananohjsisha na kuoa?!!
Aisee hamjifunzi kabsa.
Kila nyakati na kitabu chake!
 
Jiandae risasi 7 zitakuhusu
 
Bado una mpenda x wako. Too bad.
 
The last statement proves totally how foolish you are. Natanguliza pole zangu kwa huyo unayesema ndio chaguo la moyo wako maana it seems like you are with him for the purpose of hurting your Ex and not true love. Time will tell
 

Unaelewa maana na tofauti ya maneno LOOSER na LOSER? Kasome maana zake kwenye dictionary tafadhali kwa faida yako siku nyingine!
 
He’ll die alone???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah nyie acheni vita jaman maisha bado yanatakiwa kusonga
 
Dada katika hii Dunia usiishi kwa kutaka kumkomoa mtu au kumringishia mtu utaukimbiza upepo. Unaweza ukadhani umemrusha roho vipi akicha kwenye harusi akakupa zawadi ya picha zenu si umebomoa ndoa, ma ex ambao ammuachana vizuri labda kwa maumivu si vyema kuwaalika.

Move Maisha yako nae maisha yako.
 
Naona kuna roho inasema Bado unampenda na unaona hawezi kitu bila wewe na bila wewe hatoweza kupata mwengine.
 
Usiongozwe na mihemko shogaangu. Huwezi kusema HE'LL DIE ALONE maana wewe sio Mungu. Kama wewe umempata chaguo lako, aliyekupa wewe atampa na yeye pia.

Shukuru umepata ukipendacho, ya kwake nayo mwachie mwenyewe! Ova
 
Lol. Hapo unampa nafasi akuombee mabaya na siku yakienda kombo si ajabu akafanya na sherehe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…