Nimempelekea kadi ya mwaliko ya harusi X wangu

Na huyo unayemuita 'a man of ur dream' ndiye yule ambaye ulikuwa umempost WhatsApp status wiki ilopita!?
Ushauri wangu kwako, endelea kujifunza na mheshimu mzazi mwenzako
 
Longevity ya mwanaume na mwanamke ni tofauti, mwanaume anaweza akaamua kuoa muda wowote na ni pisi kali kinoma, ila kwa mwanamke uwa inaTake time na maombi mengi na mwishowe upite na mpitaji apite aende zake.
 
Kaa ukijidanganya hivyo hivyo, mwanaume hatishwi, wanaume ni wachache kuliko ninyi, na unayemsema ndiyo wa ndoto zako anaweza kukumwaga any time, unamuita haijielewi halafu unampelekea kadi? Wewe ni lijinga
 
Unaolewa kulipa kisasi, hautadumu kwenye ndoa. Wenzako walianza kwa nyodo mwishoni mwa siku wanarudi kusema bado tunapendana mapenzi yapo.

Ntakupa mapenzi yote my love....kisasi bora maishani ni madanikio bila kumtesa mtesi wako wa zamani..

MAKINIKA, NDOA NDOANA. UTASHANGAA BAADA YA NDOA UMEPUKUTIKA KAMA MTI UPO KWENYE MAJIRA YA KIPUPWE. AU KIANGAZI.
 
Weka Akiba ya maneno, Kuna siku utamkumbuka ukiwa ndani ya Ndoa...Hapo ndio utajua hujui. Kwa Taarifa yako ma_ Ex wote tuliofunga ndoa tunawasiliana.
Unachosema ni kweli, hayo yapo kwangu mtu I love u haziishi. Na ameanzisha mwenyewe. Mwaka mmoja wa ndoa nakutana nae kwao amekonda matako yameisha.

Sasa hivi yeye ndiyo ananitafuta
 
Ukikua utakuwa na kifua.
Kwamba unamkomoa x tena mwanaume?
Wanawake nyie basi tu.
 
Yaan umeandika as if unaenda kufa...huko kweny hyo ndoa ambayo unamringia eksi wako ndo kumekuwa na changamoto haswaa..usifanye kitu aidha kwa kumfurahisha au kumuumiza mtu..ipo siku ukiwa kweny hyo ndoa utatafuta tena namna ya kumuumiza huyo mume wako na itakuwa ndo chain ya maisha yako yote
 
Unajitekenya,,halafu unacheka mwenyewe...

Jipe Muda
 

Nahisi kama hiyo ndoa mpya umeingia kwa mihemuko ya kumkomoa X. Inawezekana pia X naye amefurahi kusikia unaolewa, kwamba sasa ana uhakika hutamrudia tena kusumbua mahusiano yake mapya.maana inawezekana ulikuwa kichomi kwake
 
loser maana yake hajakuoa yeye. Kuendelea kumtafuta unatuaminisha
 
Unaelewa maana na tofauti ya maneno LOOSER na LOSER? Kasome maana zake kwenye dictionary tafadhali kwa faida yako siku nyingine!
Waswahili wengi hata wale ambao jamii inaamini wao ni wa wasomi hutumia neno looser kumaanisha loser,
 
Mda utaongea tu we mwanandoa mtarajiwa wanasema usitukane mamba kabla ujavuja mto usiingie kwenye ndoa eti kisa tu kumkomoa mtu fulani omba mungu iyo safari yako ikawe ya heri ili usije apa kuomba ushauri ndoa ina mambo mengi sana Mimi sitaki kuongea mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…