Nimempelekea kadi ya mwaliko ya harusi X wangu

Hamwishi kum-Bip Mungu??!
Tumechoka kuchimba makaburi
 
Kakosea sana.hivi akibeba majina akampeleka kwa mganga ili wafarakane atamlilia Nani????
Hili ndo tatizo la wanawake hawawezi kufanya kitu kimya kimya baadae utaleta uzi hapa mkiachana.
 
Juz mchepuko wangu ambaye Ni mke wa mtu alipigwa na bwana ake usku kisa msg za ex wake kuingia wakiwa wamelala amani ilitoweka San ktk nyumba ile vurugu mpk sas HV na ndoa inachechemeaa sas were endelea kumdharau ex wako
 
Exes wangu walipoolewa niliwachangia kiroho safi tu. Na katika exes wangu wanne ni mmoja tu hajaolewa. Lakini wote walioolewa niliwachangia kiroho safi na zawadi niliwapa.
Mleta mada aache nongwa, ya kale hayanuki.
 
Wewe hujaweza ku-move on! Mtu aliyeacha hamfikirii ex wake maana kama umeacha you don't care uliyemuacha ana-prosper au kadoda. Ukiona bado unataka kujua na hasa kwa kumuombea mabaya x wako juu bado unampenda na hili ndo linakwenda kupelekea mahusiano yako ya sasa kuharibika. Hii ni kwasababu utakuwa umeolewa lakini unatumia muda mwingi kutaka kujua kama X wako kadoda bado. mwishowe utakuwa na kisirani na ni rahisi mme wako wa sasa akakuchoka haraka. Sisi tunasubiri mrejesgho maana hujafunga ndoa lakini tayari unasema mume wa ndoto zako! Ingia kwanza ndo urudi na kauli hiyo, hapo tutakuelewa.
 
The last statement proves totally how foolish you are. Natanguliza pole zangu kwa huyo unayesema ndio chaguo la moyo wako maana it seems like you are with him for the purpose of hurting your Ex and not true love. Time will tell
Anaingia kwenye ndoa kulingishia watu[emoji2]

Hadi apigwe na kitu kizito ndio ataelewa kuwa hajui
 
Wa ndoto zako ni huyo uliyempelekea kadi, trust me. Kinachokufanya ujipe moyo ni maneno ya kibri aliyokutamkia but siku akijua silaha muhimu ya kukuvuruga ni yeye kurudi kwako na maneno ya ki gentleman basi itakuwa imekwisha habari yako. Omba Mungu aendelee hivyo hivyo kuwa loser na kukuongelea shits ambazo kwako ndiyo faraja ya kusonga mbele.
 
Hivi ndivyo wanawake huachwa na wanaume waliowapenda na ambao penzi lao lilikua moto moto.

Mumeo akijua kua ex wako alihudguria harusi yenu basi jua ndoa yako haina muda mrefu. Na si ajabu anamfaham vizuri ila wewe kwa ujeuri umempa kadi aje kabisa.

Kama ulimove on yanini hadi kumkumbuka!?? Hapo tunaamini bado unampenda, na akija kukulia hilo tunda atalila iwe kimasikhara ama kimkakati.

Namsikitikia sana mumeo.
 
Huyo mwana unampenda tena sana tu, yakikukuta huko uendako lazima ale mbususu
 
Bado unautoto mwingi nakuapia, Ndoa sio tu kuvaa shera na kupewa cheti feki ambacho haujakifanyia mtihani, wala Ndoa sio kupigiwa vigelegele,
Toka kwenye huo usingizi tena usijaribu kupereka hiyo kadi niamini mimi utakuja kunishukuru baadaye maana wanaume sote mama yetu ni mmoja
 








Nimeachana na mchumba wangu sababu ya kauli kama hii. Nlikuwa namsomesha university ili akimaliza tuoane



Kifupi tu jamaa ajipange sana hana mke


Kama ushasex hadi na baba yako basi wewe ni mwanamke usiye na maadili kabisa

Nimejiridhisha ni kweli mzee alikula mzigo baada ya wewe kuanzisha nyuzi 2 hapa ndo alianza kukutongoza

Nimemaliza na hii.

Mdogo wangu nimejifunza mambo mengi sana kukuhusu. For sure unatabia kama za mchumba wangu ambaye napanga kuachana naye sababu nimejitahidi kumbadilisha naona kama baadae atanitesa coz tuna tofauti kubwa sana kiumri.
Kifupi tu wewe hauwezi kukaa kwenye ndoa hivo bora ungezaa tu watoto wako ukalea mwenyewe.
Wewe ni mwanamke ( huwa sipendi kuota mwanamke malaya) ila una tabia sio nzuri kwenye relation, hauheshimu mtu, wewe ni easy going yaan unadate na mtu yeyote ili mradi tu anapesa.
Bado unayo nafasi ya kujirekebisha
 
Aah bro ndo umeamua kusagia kunguni kabisa [emoji23]

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…