Nimempiga boadaboda mpaka nimemuonea huruma

Halafu Ni Kama wana tabia moja nchi nzima! Nilichogundua wengi wao wanaona Ni kazi inayodharaulika hivyo likitokea tukio barabarani hasa wakigonga gari huona mwenye gari kawadharau! Wakigongana wenyewe kwa wenyewe ndio utapenda,wanaitana wanakagua anapatikana mwenye kosa,wanalipana kesi inaisha[emoji3]
 
Itabidi na mimi nijitahidi ninunue gari aise,maana humu jamii forum peke yangu ndo sina gari

Hili suala kiubinafsi linanishangazaga sana hapa jf .hahaha yaan wat wanataka upretend umaskini..sijui wanataka uishi fake mradi wwnyew wafurah..mkuu hv hayo magari yoote unayoyaonaga barabaran ..huhis kuwa baadhi wamiliki watakua humu jaman..😅😅😅😅😅...ila umaskini kwel sio mzuri..tuzidi kuuchukia..kuwa na gari sio deal bwana .
 
Yani ukisoma baadhi ya thread au comment za watu humu jukwaani unaweza hisi wewe peke yako ndo unapanda daladala au umepanga,kila mtu humu ana mansion kali,good car ana kazi ya maana sijawahii ona fundi pikipiki au bodaboda humu
 
Hivi sisi watu wa mkoa tumewakosea nini nyie wanaume wa Daslamu?hivi mkuu wenu wa mkoa si katoka Kolomije lakini au?
 
Yani ukisoma baadhi ya thread au comment za watu humu jukwaani unaweza hisi wewe peke yako ndo unapanda daladala au umepanga,kila mtu humu ana mansion kali,good car ana kazi ya maana sijawahii ona fundi pikipiki au bodaboda humu

Ni ww tu na unavyofeel..haha hata km wanadanganya kwan ww unaugua...chill take easy..binafsi Jf nimekutana na matajiri mno mno...!ifike hatua tukubali tu na hali halisi..!nyie ndo wale unamuona jirani yako amekwama na gari anaslide tu mnafurahiiiii😅😅..moyo unakuwa una amanii...hv kwann wabongo tuko hvi?mnabaki chungulia madirishani mnajisema akome😏😏😊...huo ndo ukwel..huna gari fight upate..ila ukitaka kusikia kila mtu bodaboda utasubiri saaana!

Hata ww badilika!jali maisha yako😅
 
Mbona unapenda kuchukulia mambo serious sana ,ndo maana nikasema na mimi nitanunua ka gari all in all hakuna mtu anaye mchukia tajiri duniani hapa lazima maisha yawe na madaraja.....what i said ni kuwa humu ndani kumbe kila mtu ana gari sijawahi kuona comment au thread ya fundi pikipiki,sasa hapo kwani nimekata humu hamna matajiri?au umetafsiri vp mkuu?
 
Wala sijachukulia...hayo mambo nayaona sana jf...na ww umewawakilisha..!so nikatoa ushauri jikubalini..au la fight upate vyako..peace
 
Yani ukisoma baadhi ya thread au comment za watu humu jukwaani unaweza hisi wewe peke yako ndo unapanda daladala au umepanga,kila mtu humu ana mansion kali,good car ana kazi ya maana sijawahii ona fundi pikipiki au bodaboda humu
Wewe tu na negativity zako. Katika uzi unaaongoza kuchangiwa humu wa nyumba za kupanga ni mmoja upo humu na members humu wanaelezea experience zao za kuishi nyumba za kupanga. Pia kuna uzi wa vituko vya daladala na unachangiwa sana na members humu wanaandika experience zao.
 
Weng sana jf wana hiz negativity hawapend kusikia mtu ana range ana mansion ..mwee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…